Nsubhi Senior Member Joined Jan 27, 2015 Posts 159 Reaction score 51 Feb 3, 2015 #101 Huyu malaya tu anatafuta wamaume
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Feb 3, 2015 Thread starter #102 Nsubhi said: Huyu malaya tu anatafuta wamaume Click to expand... Hahahaaaa.... Umewaza mbali sana mkuu
Nsubhi said: Huyu malaya tu anatafuta wamaume Click to expand... Hahahaaaa.... Umewaza mbali sana mkuu
Pretty R. JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 200 Reaction score 31 Feb 3, 2015 #103 Acha nibaki ni hili shape langu la kichaga, kama rizki ipo ipo tu.
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Feb 3, 2015 Thread starter #104 Pretty R. said: Acha nibaki ni hili shape langu la kichaga, kama rizki ipo ipo tu. Click to expand... Wachaga waliodekezwa wamejaliwa haswaa.... Ila wenzangu na yule km wahindi
Pretty R. said: Acha nibaki ni hili shape langu la kichaga, kama rizki ipo ipo tu. Click to expand... Wachaga waliodekezwa wamejaliwa haswaa.... Ila wenzangu na yule km wahindi
Pretty R. JF-Expert Member Joined Apr 14, 2012 Posts 200 Reaction score 31 Feb 3, 2015 #105 Mm sijadekezwa nimekulia migombani napalilia kawaha na migomba. Shepu itoke wapi? Lkn najipenda hivi hivi nilivyo. Kifupi najikubali.
Mm sijadekezwa nimekulia migombani napalilia kawaha na migomba. Shepu itoke wapi? Lkn najipenda hivi hivi nilivyo. Kifupi najikubali.
Payer JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 824 Reaction score 189 Feb 3, 2015 Thread starter #106 Big up sana, we wa ukweli sana. Mungu hakukosea kumuumba yeyote
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Feb 4, 2015 #107 miss chagga said: kuna watu kawadanganya kila mwanaume anaangalia kalio Click to expand... Sidhani kama kuna mwanaume rijali wa kiafrika au black American asiyependa hips na huo ujazo wa nyuma, Labda wahindi,chinese na japanese tu,na ni vile gals wao hawajajaliwa.
miss chagga said: kuna watu kawadanganya kila mwanaume anaangalia kalio Click to expand... Sidhani kama kuna mwanaume rijali wa kiafrika au black American asiyependa hips na huo ujazo wa nyuma, Labda wahindi,chinese na japanese tu,na ni vile gals wao hawajajaliwa.
Sukari Yenu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 1,698 Reaction score 1,260 Feb 4, 2015 #108 WABALLA Inc said: Sio makosa yao..... Click to expand... Makosa labda ya kazi ya uumbaji si ndio?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 4, 2015 #109 nemulo said: Sidhani kama kuna mwanaume rijali wa kiafrika au black American asiyependa hips na huo ujazo wa nyuma, Labda wahindi,chinese na japanese tu,na ni vile gals wao hawajajaliwa. Click to expand... kuangalia sawa ila kuyatumia
nemulo said: Sidhani kama kuna mwanaume rijali wa kiafrika au black American asiyependa hips na huo ujazo wa nyuma, Labda wahindi,chinese na japanese tu,na ni vile gals wao hawajajaliwa. Click to expand... kuangalia sawa ila kuyatumia
leroy JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,622 Reaction score 2,220 Feb 4, 2015 #110 Halafu utasikia ...'Mimi sitaki mwanaume feki'.
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Feb 7, 2015 #111 grafani11 said: Hongeraaa...hata hivyo umependeza mweeeeee. Click to expand... Duh duh...aiseee hapana!!!
grafani11 said: Hongeraaa...hata hivyo umependeza mweeeeee. Click to expand... Duh duh...aiseee hapana!!!
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 441 Feb 7, 2015 #112 Big Baba said: ni kukosa tu kujiamini na kile ulicho jaaliwa,uzuri wa mwanamke hauko kwenye makalio bali kwenye akili yake... Click to expand... HAPANA!!! Napinga hoja hii kwa nguvu zote,uzuri wa mwanamke ni umbo na sura,akili wewe mwanaume ndio unapaswa kuwa nayo ili uishi naye vizuri. Kuna wanawake wazuri bana...acha wewe!!!
Big Baba said: ni kukosa tu kujiamini na kile ulicho jaaliwa,uzuri wa mwanamke hauko kwenye makalio bali kwenye akili yake... Click to expand... HAPANA!!! Napinga hoja hii kwa nguvu zote,uzuri wa mwanamke ni umbo na sura,akili wewe mwanaume ndio unapaswa kuwa nayo ili uishi naye vizuri. Kuna wanawake wazuri bana...acha wewe!!!