Mashepu na vishepu

Mashepu na vishepu

Acha nibaki ni hili shape langu la kichaga, kama rizki ipo ipo tu.
 
Mm sijadekezwa nimekulia migombani napalilia kawaha na migomba. Shepu itoke wapi? Lkn najipenda hivi hivi nilivyo. Kifupi najikubali.
 
Big up sana, we wa ukweli sana. Mungu hakukosea kumuumba yeyote
 
kuna watu kawadanganya kila mwanaume anaangalia kalio

Sidhani kama kuna mwanaume rijali wa kiafrika au black American asiyependa hips na huo ujazo wa nyuma,

Labda wahindi,chinese na japanese tu,na ni vile gals wao hawajajaliwa.
 
Sidhani kama kuna mwanaume rijali wa kiafrika au black American asiyependa hips na huo ujazo wa nyuma,

Labda wahindi,chinese na japanese tu,na ni vile gals wao hawajajaliwa.

kuangalia sawa ila kuyatumia
 
Halafu utasikia
...'Mimi sitaki mwanaume feki'.
 
ni kukosa tu kujiamini na kile ulicho jaaliwa,uzuri wa mwanamke hauko kwenye makalio bali kwenye akili yake...

HAPANA!!! Napinga hoja hii kwa nguvu zote,uzuri wa mwanamke ni umbo na sura,akili wewe mwanaume ndio unapaswa kuwa nayo ili uishi naye vizuri.

Kuna wanawake wazuri bana...acha wewe!!!
 
Back
Top Bottom