Mashepu na vishepu

Mashepu na vishepu

My wadada hawajui kuwa uzuri kila mwanamke anao. kujiami peke yake ni uzuri kwangu, jambo la msingi ni kujua kupangilia mavazi, kujua mtindo gani unakufaa kichwani, nywele fupi au ndefu, na kujiamini. hivo tu kwangu ni uzuri. napenda mwanamke akiwa simple. sio mwanamke kajiongeza hadi kawa kama jini. hujiamini nini????????????
well said .. kabisa yani unakuwa mwaaaaa
 
My wadada hawajui kuwa uzuri kila mwanamke anao. kujiami peke yake ni uzuri kwangu, jambo la msingi ni kujua kupangilia mavazi, kujua mtindo gani unakufaa kichwani, nywele fupi au ndefu, na kujiamini. hivo tu kwangu ni uzuri. napenda mwanamke akiwa simple. sio mwanamke kajiongeza hadi kawa kama jini. hujiamini nini????????????

Hapo ni kujipa raha mwenyewe. Uzuri wa mwanamke tunaufaham sisi wanaume. Kusema kila mwanamke ni mzuri. Siyo kweli.
 
Tezi jike zinaitesa mioyo ya wanadamu akyanani
 
Sasa ukimchukua mara ukifika kunako 6x6 ghafla kageuka fidodido,aisee atazilipa zangu,pambaffffff
 
ni kukosa tu kujiamini na kile ulicho jaaliwa,uzuri wa mwanamke hauko kwenye makalio bali kwenye akili yake...
 
Wao wanataka akili za nyuma
 
He he he,Best mie Mdada mwenye rehema za Allah...nimpenda kweli

Best wewe tena mbona nakuelewa, una leseni za mizigo ya neema za Allah. Ila yule wa US si kivile, hahahhaaa nisikupe machungu bure...
 
Siku zote katika life..m2 ni bora tu ujikubali jinc ulivyo...ukijikubali umbo lako ukaliona zuri hata wakuonao pia watakukubali hvyo hivyo...tatzo ss mabinti tulio wngi hatujiamini hat kidogo na hilo ni tatizo kubwa kisaikolojia.
 
Eeee kumbe flatscreen tunasehemu yetu eee

mwenzio mimi ni flatter kabisa sasa wadada mabonge wananitamanijeee!!! Eti wanataka wawe kama mimi! Wameshaharibu lakini haitawezekana kuwa flat tena (kwa wale waliojiongeza wenyewe, sio wale wa natural)
 
Kweli kabisa too late kwa waliojiongeza hawakufikiria kabla ya kutenda aisee!!
 
Back
Top Bottom