I love this for sure[/QUOT
Da mungu hawezi kukunyima vyote
ukikosa hipsi basi utapewa bahati. Unaweza ukawa na hipsi ukawa jamvi la wageni ata wa future na wewe hakuna.
Ningekuwa dume wala nisingesimamisha rusherere. Sioni cha kumtamanisha rijali hapo.
Hahahahaaa ila mbunifu sana, hivi kuna watu wanapenda mashepu kiasi hicho?
Aisee!!!
Haaaa! haaaa! haaaa! wanawake mnashida tabu yote ya nini? Ebu fikilia ndo upo na mtu wako kwa siku ya kwanza mnataka kutupiana vitu inafika kipindi cha kuchojoana nguo unakuta mambo kama hayo loooooooh! Aibu gani hiyo
Mbona kujipa shida tu huko, hakuna jambo zuri kama mtu kukupenda jinsi ulivyo. wadada mungu hakunyimi vyote, kama mbio za hipsi zilikushinda basi za face ulifanikiwa, hakuna anayenyimwa vyote. ishi kwakujiamini khaaa!!!

kuna watu kawadanganya kila mwanaume anaangalia kalio
Exactly yes twin umeongea point nzito sana na ya kweli...bravo!