Mashepu na vishepu

Mashepu na vishepu

Daa! Kazi ipo yote hiyo inasababishwa na nyie wanaume kuwageuzia shingo wenye shepu sasa kwanini bidada na yeye asitafute
 
Hahahahaaaa! Yaani kumbe kuna baadhi ya wanawake wenzetu wana akili fupi kiasi hicho.

Inabidi akae ajue kuwa binadamu hatuwezi tukafanana hata siku moja mana hapo anaoongeza manguo ila iko siku yatamuumbua.
 
Daaaaaah! Maisha ni safari ndefu sana,mpaka wanaume tumekuwa dili siku hizi
 
Ameamua tu kuchekesha watu..
kama angekuwa serious wala asingeonyesha picha ya before na msingekua kama fake au real..
 
Heheeeeeeeeee wenye pasii bora kujikubali tu et Kim nana
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana kabla sijaoa enzi hizo shurti nimnawe demu kiaina iwe bonet au booty.
 
Kuna mwingine aliangukia kwa wachina mwisho wa siku yakampata yaliyompata.
 

Attachments

  • 1422724646401.jpg
    1422724646401.jpg
    54.2 KB · Views: 364
Ukiona Hivyo Demand Yao Iko Juu.....Wanaume Wanavutiwa Sana Na Hizo Shepu Ndo Maana Wanawakamata Kiulaini
 
Ndio maana vijana siku hizi wanapenda kupima oil mapema na kuthibitisha uumbaji
 
Hivi sasa ukikuona una hips then face to face anakutana na matambala inakuaje kwa mfano.?
 
Back
Top Bottom