Mashepu na vishepu

Hapo ni kujipa raha mwenyewe. Uzuri wa mwanamke tunaufaham sisi wanaume. Kusema kila mwanamke ni mzuri. Siyo kweli.

Mchuzi toka lini ukajionja wenyewe. Uko sahihi mkuu
 
Best wewe tena mbona nakuelewa, una leseni za mizigo ya neema za Allah. Ila yule wa US si kivile, hahahhaaa nisikupe machungu bure...
Ahahahaha yule Wa US kharam yule asee
Ila best ukitaka kunipa machungu wewe nope tuu
Ntafanyaje sasa....ila unipongeze bidae
 
nyie wanaume ndio mnapenda mashep ndio maana wa dada wanahangaika kuweka mashep ili kuwafurahisha nyie
 
nyie wanaume ndio mnapenda mashep ndio maana wa dada wanahangaika kuweka mashep ili kuwafurahisha nyie

So anachofanya mwanamke ni kwa ajili ya mwanaume? Why not kwa ajili yake mwenyewe!
 
...ikatokea kavuliwa nguo kama yule wa kkoo sa itakuwaje mazeee daah...
 
Hahahhaaa hatakama ni ngumi sio eeh?
 
Lazima muelewe vyema ubunifu wa Dada yule awali
 
Mnaona yaliyomkuta john.... Hataki uhindi
 

Attachments

  • 1422976143877.jpg
    55 KB · Views: 240
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…