1. Wauwaji walijua wanaua waumini wa Katoliki na wa Askofu Gwajima. Sheikh anasema kwa nukuu isiyo rasmi "wameona vijana wa kiislam Waliokufa si wengi hivyo wanataka tarehe 09Dec na vijana wa kiislam nao wawe wengi.... Kumbuka wauaji ni kutoka Zanzibar yenye wananchi 99% waislam
2. Serikali inawaunga mkono Masheikh maana kauli zenye uzito kama wao zingetolewa na viongozi wa Chadema lazima wangekuwa wameshaitwa Polisi na kupewa kesi ya Uhaini au uchochezi.
3. Vyombo vya Usalama wa nchi vimeamua kuruhusu nyufa kwenye Taifa kwa kuwaacha viongozi uchwara wa Dini ya kiislamu kuropoka hovyo. Kumbuka Katibu wa TEC alipigwa na kitu chenye ncha kwa lengo la kumuua hivyo Wakatoliki bado wanamaumivu moyoni Masheikh hawa wanawatonesa tena kwa kejeli.
4. Kuna kikundi kinataka amani ichafuke ili kijitajirishe katikati ya mgogoro. Tusikubali