Kuna kitu sikifahamu katika akili za watanzania wengine,kwanini umeitia hii "post" kuwa alieandika ni mwanachama wa CHADEMA,kwanini kila kitu kiwe siasa..Chadema hamna pakushika sasa mna kimbilia kwa Masheikh na Ma askofu
mkuu bora ukaushe tu maana unaongea kimuhemko na kisiasa hapa.Mkuu huyo ponda kapigwa risasi nyingi kuliko Ponda? Toa utetezi mwingine, huu ni dhaifu. Viongozi wa dini wa kiisilamu waamke, wangalau Ponda amewahi kukemea lakini propaganda zinapigwa kwamba yeye ni mvunja amani
Kwani ponda alipigwa risasi wakati wa utawala wa nani?Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
Sasa imagine utawalaa huu angefanywaje?Kwani ponda alipigwa risasi wakati wa utawala wa nani?
Huu ndio ukweli mkuu, unadhani hawajui, wanajua sana masheikh kitakachowasibu pindi watakapofungua mdomo waomkuu bora ukaushe tu maana unaongea kimuhemko na kisiasa hapa.
waislamu mfano wajiingize katika kumkosoa magufuli nina uhakika tutajaa magerezani kwa ugaidi tena kinoma noma yaani bila kuona aibu wala nini tena tutafanyiwa kila aina ya unyama.
na wala sio waislamu wanakaa kimyaa sababu hawaoni au hawaumii ila wanaumia kimoyo moyo sana na wanajua chochote watakachokifanya kitafireback mara mbili.
Ndio maana hata sisi tunawategemea hao maaskofu waweze kumwambia maana wao hata wakiongea hatowafanya chochote watazozana yataisha.inshort watanzania wote tunwategemea hao maaskofu na harakati zao zinaweza zikazaa matunda ila sio waislamu wajiingiza katika huu mgogoro
Mkuu kama hawawezi kukosoa kwa kuogopa,basi wakosoe kwa njia ya kura,unafikiri itatokea nini kama nusu tu ya waislam wote Tanzania watakataa kuipigia kura CCMHuu ndio ukweli mkuu, unadhani hawajui, wanajua sana masheikh kitakachowasibu pindi watakapofungua mdomo wao
Una hakika gani kama hawajaikataa, refer ZnzMkuu kama hawawezi kukosoa kwa kuogopa,basi wakosoe kwa njia ya kura,unafikiri itatokea nini kama nusu tu ya waislam wote Tanzania watakataa kuipigia kura CCM
UBUNTU X. Tafadhali usituite jina la makafiri, vitabu vyenu vinafundisha mtupende tusio waislam. sasa kwanini unakengeuka?Tuombe radhi.Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
Masheikh wanaogopa, kila wakiwaangalia wenzao wanaoozea magerezani hasa Hawa bakwata wao kila kitu wako upande WA serikaliKwa muda huu katika mitandao ya kijamii habari zinazozngumzwa ni vipi Maaskofu na wachungaji wa dini ya Kristo wanavyomkosoa Raisi Magufuli vipi anavyoingoza nchi ya Tanzania
Binafsi naona kama hawa watu wa Mungu wamechelewa,walikuwa wamkosoe raisi pale tu alipoanza kuwakashifu na kuwaadhiri raia anaowaongoza hadharani mbele ya halaki ya watu.
Hawa watu wa mungu walitakiwa waanze kumkaripia kumkosoa Raisi pale tu yeye na mtoto wake mkuu wa mkoa walipokuja na tabia wanayoita "Kutumbua majipu"..
Lakini sio mbaya afadhali hawa watu wa Mungu wenye imani ya kristo wameweza kusimama na kuwatetea wanyonge ambao hawana nguvu za kumwambia Raisi kuwa anachofanya sicho,ambacho haifai kumfanyia hata mtoto wako..
Sasa kuna hawa watu wa Mungu wenye imani ya Kiislam masheikh,hawa watu ndio wananishangaza mimi,Juzi nimesoma katika mtandao wa kijamii Sheikh mkuu wa Tanzania (Bakwata) anawamrisha waislam wasifanye mazoezi ya karate..
Kama mtu wa mungu unaiona nchi wapi inaelekea,unaona raisi kakata kamba,hakamatiki,wananchi wanalalamika kila kona wewe unakwenda kuwaambia watu wa imani yako wasifanye mazoezi ya karate..,Ajabu
Ningependa kumwambia Sheikh mkuu wa dini ya kiislam kuwa mazoezi ni njia moja ya kuondoa mkusanyiko wa mawazo(stress) katika akili ya binadamu,Jela zote ulaya lazima wafungwa wawekewe sehemu ya kufanya mazoezi,dakini 30 kwa siku..,sijui jela za Tanzania ziko je kwa hili,wanafanya hivyo ili kuondoa "stress" za wafungwa
Watanzania kwa sasa wanahitaji mazoezi ya nguvu ili kuondoa "stress",maisha yamekuwa maugu kila mtanzania ana mawazo yaliyomzidi uwezo...
Huyu Sheikh angeligombania mambo ya msingi wanayoyataka waislam mfano mahakama ya Kadhi ambayo imepigwa vita na wafuasi wa dini nyangine,Masheikh kutoka Zanzibar wamewekwa ndani zaidi ya miaka mitano(5) sasa bila kupewa huku yoyote...
Au angalau huyu Sheikh asimame pamoja na watu wa Mungu wenye imani tafauti na yeye ili kumkosoa raisi kwa haya anayowafanyia watanzania ambao ndio anaowaongoza
Nawapa hongera kwa watumishi wa Mungu wenye imani ya Kikiristo kwa kusimama kuitetea demokrasi na haki za msingi za watanzania wote bila ya kujali imani zao