Kwa katiba yetu ni mahakama pekee inayotakiwa kutoa hukumu na sivingenevyo. Sasa wewe umesha wahukumu na kuwapa adhabu, hiyo si sawa.
Kikwete haendeshwi na uisilamu pekee, alitakiwa yeye na baadae JPM wahakikishe hawa watu wanapelekwa mahakamani na kesi inaendeshwa kwa mchakato wa haki, hukumu ipatikane. Hiyo ndiyo due process of law.
Wewe nina wasiwasi ndio unaeongozwa na hihemko kwani unatupilian mbali sheria zetu na kuwahukumu watu kwa hisia. Huoni hata umuhimu wa wao kupitia mkondo wa sheria zetu.