Miungu watu wabaya sana. Hii kesi hata haifanyiki wamewaweka huko mahabusu sijui mwaka wa ngapi sasa. Utawala bora Tanzanian style. Yaani kwa data za leo mahabusu ni wengi kuliko wafungwa.
Hawa mashehe acha tu waendelee kukaa rumande. Tuna amani wakiwa mahabusu. Waislamu na mashehe wa kawaida na hata mapadre hawauawi. Wakae tu ndani kwa amani ya Zanzibar