Masheikh wa Uamsho

Masheikh wa Uamsho

Status
Not open for further replies.
Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Tatizo hao mashekhe wetu ni mapandikizi wa siasa ndani ya dini, amani ni muhimu zaidi kuliko ajenda za kidini-siasa za watu wasiozidi kumi.
 
Hii kesi ya Hawa jamaa kutakuwa na mambo mengi hatuyafahamu!
Haiwezekani mpaka sahivi wanashindwa kuwachiwa

Ova
 
Tatizo hao mashekhe wetu ni mapandikizi wa siasa ndani ya dini, amani ni muhimu zaidi kuliko ajenda za kidini-siasa za watu wasiozidi kumi.
Askofu Munga, Askofu bagonza, pengo,Shoo
 
KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
Marikani inawaweka wapi?Kama wanakosa kwa nini hawafungui kesi na kuiendesha badala yake serikali imepiga mute. Tuna hakika gani kama kweli wanakosa au yako mengine nyuma ya pazia? Utajuaje ukweli kama hakuna kesi?
 
Hao sio mashekhe ni wahuni tu waliojivisha ushekhe ndani yake.Mashekhe ni wale wanaowafundisha watu kuacha maovu na kumtafuta Mungu tukiishi kwa kuvumiliana na upendo mkubwa.Ukiona mtu anaeneza chuki,utengano basi huyo ni mhuni Kama wahuni wengine.Kama Kuna Shekhe na hakutendewa haki Basi muda utafika na atatoka.

Kweli umenena, weka ndani muda ukifika atatoka. Yaani unajipa madaraka ya kuweka watu ndani kwa muda usiojulikana wakati hata katiba haikupi madaraka hayo. Wakiulizwa hati uchunguzi haujakamilika-zaidi ya miaka sita sasa. Cha ajabu unatetea ujinga huu, sasa mahakama yanakazi gani? Au ni kuwaangalia sura zao.
 
KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
Unapomuweka mtu gerezani bila kumfikidha mahakamani huoni kama hapo unavunja haki za binaadamu? Unamfungaje mtu ambae hana kosa? Kama anakoda kwanini asishtakiwe na kuhukumiwa?

Japo kwa sekunde tu mtumie hizo akili chache mlizonazo.
 
Kwa hiyo waachwe wasichukuliwe hatua kisa tu wanatumia mwamvuli wa dini kuingiza ugaidi?? Sheria haiwezi kuwatetea magaidi
Kama kuna anayejiita muislam huku akifurahia utawala wa ccm basi huyo ni ibilisi shetani.Masheikh wapo zaidi 2000 katika magereza mbalimbali kwa kesi za ugaidi wengine wamefichwa tuu
FaizaFoxy
Ritz
 
kwa hiyo km US wanafanya uovu then hiyo inakuwa justification ya nchi zingine kufanya uovu?
KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
 
Kweli umenena, weka ndani muda ukifika atatoka. Yaani unajipa madaraka ya kuweka watu ndani kwa muda usiojulikana wakati hata katiba haikupi madaraka hayo. Wakiulizwa hati uchunguzi haujakamilika-zaidi ya miaka sita sasa. Cha ajabu unatetea ujinga huu, sasa mahakama yanakazi gani? Au ni kuwaangalia sura zao.
Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.
 
Kwani walishahukumiwa? Hivi walikamatwa kipindi ambacho rais ni mwislamu eeeh. Ingekuwa kipindi hiki sasa mahubiri yangekuwa ni mfumo kri....
Umechanganya,,uamsho walikuwa wamebase Zanzibar na tatizo lilianza walipoanza kuniingiza kwenye siasa na kuhoji muungano,kabla ya Happ,uamsho ilikuwa ni taasisi yenye Hadi registration Kama sikosei
 
Exactly huwezi kumtetea gaidi wa dini yoyote ile anaetaka kuvuruga amani ya nchi yetu.
Siwezi kumtetea mtu anayetaka kuhatarisha amani ya nchi hata kama ni muislam au mkristo mwenzangu,kwa hilo suala siyo la kisiasa.
 
Ni kweli kabisa
Hao sio mashekhe ni wahuni tu waliojivisha ushekhe ndani yake.Mashekhe ni wale wanaowafundisha watu kuacha maovu na kumtafuta Mungu tukiishi kwa kuvumiliana na upendo mkubwa.Ukiona mtu anaeneza chuki,utengano basi huyo ni mhuni Kama wahuni wengine.Kama Kuna Shekhe na hakutendewa haki Basi muda utafika na atatoka.
 
Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.
kazi ya mahakama ni nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom