Masheikh wa Uamsho

Masheikh wa Uamsho

Status
Not open for further replies.
Marekani hawanegotiate na magaidi wanawaua moja kwa moja
KWANI MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZIMEWAWEKA GEREZANI WATU WA AINA HII KWA MIAKA MINGAPI? SI NI BADO WAPO KWA AJILI YA USALAMA WA NCHI? FIKIRIA ZAIDI. WEWE UNAWATAKA WA NINI HAUSWALI MPAKA WAWEPO? ENDELEA KUMWOMBA MUNGU WENU ILI AFUNGULIWE NA WENGINE WAOMBE WASIFUNGULIWE TUTAJUA UKWELI NI NANI.
 
Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.
Kwa katiba yetu ni mahakama pekee inayotakiwa kutoa hukumu na sivingenevyo. Sasa wewe umesha wahukumu na kuwapa adhabu, hiyo si sawa.
Kikwete haendeshwi na uisilamu pekee, alitakiwa yeye na baadae JPM wahakikishe hawa watu wanapelekwa mahakamani na kesi inaendeshwa kwa mchakato wa haki, hukumu ipatikane. Hiyo ndiyo due process of law.
Wewe nina wasiwasi ndio unaeongozwa na hihemko kwani unatupilian mbali sheria zetu na kuwahukumu watu kwa hisia. Huoni hata umuhimu wa wao kupitia mkondo wa sheria zetu.
 
Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Waache wabaki hukohuko wasije wakaliamsha huku
 
!
!
Adui Wa Mwislam Ni Mwislam Mwenzake. Walikamatwa Enzi Za Kikwete Hawa Wana Kama Mwaka Wa Kumi Na Nasikia Wameteswa Haswa Hawa Jamaa.
Hapo kwenye red...Ni aibu kutumia neno "Nasikia" hasa kwa mtoto wa kiume,hili neno ni dalili ya umbea fulani hivi,hoja nzuri huenda kwa fact na sio kusikia.
 
Makosa yao ndio yanawafanya waendelee kusota ndani.Kinachoangaliwa ni usalama wa nchi na sio nafasi zao kwenye jamii.Umesema ni zaidi ya miaka sita Sasa hivi ujiulizi aliyewaweka ndani ni muislamu mwenzao rais wa awamu ya nne yeye hakutambua nafasi zao kwenye jamii?Kwa Nini wengine wapate msamaha mpaka wahujumu uchumi lakini wao bado? Mashekhe wako wengi Tena wengine wakosoaji wa serikali lakini wanadunda tu,kwa nini iwe wao?Waligusa sehemu sio.Usiongozwe na mihemko chukua muda tafakari.
Jee unao ushahidi kama wale ni magaidi???
 
Kweny kiapo cha urais wa kikwete kilisema , alisema "nitailinda amani ya nchi kwa hali na mali "
Ao jamaa zako waligusa "kiapo cha urais wa kikwete " kwa maana ya kwamba walitaka kupindua kiapo chake , so zawadi hyo

Wasahauni tu .
 
Kwa hyo ww unaona sahihi wanachofanywa kisa wamegusa sehemu ambayo sio sahihi kwa mtazamo wako???

Back
Top Bottom