Ndiyo nikamuuliza huyo,wapo watu waliandamana wakidai maji hakuna?Aliyefanya vurugu ni aliyeiba uchaguzi, kuteka na kuuwa watu
Ninaishi Dar sijajua bado namna ya kufanya nisaidike na maji ya msikiti na mimi,ukiweza nipe codes taratibu z kufata.Waislamu wanaweza kuwa na changamoto zao Ila kwa dar sahivi misikiti yao inasaidia wananchi kupata Maji .
Hilo nawapa hongera.
Then waisilamu sio kwamba ni vilaza Ila kuna Vilaza nao ni waisilamu .
Upo wilaya IPI ?Ninaishi Dar sijajua bado namna ya kufanya nisaidike na maji ya msikiti na mimi,ukiweza nipe codes taratibu z kufata.
So far ninachojua jana jioni nimeagiza maji na canter dumu mbili za 1,000litres kwa 30K,mtihani sana hasa nyumba ikiwa na watoto wadogo.
Mchanga uliojaa mavi ya mbwa na paka?Leo umetawazia mchanga
Ubungo.Upo wilaya IPI ?
Mtu mwenye shule kubwa anaweza kuabudu sanamu ?View attachment 3515095
Mtu mwenye shule kubwa anaweza kuabudu sanamu ?View attachment 3515095
Pole Sana Temeke ndo maji bure misikitini japo baadhi yana chumvi na mengine hayanaUbungo.
Unataka tufate maji misikitini mtukate vichwa!?Pole Sana Temeke ndo maji bure misikitini japo baadhi yana chumvi na mengine hayana
Na Kama una watoto changamoto Sana kiukweli. Pale Wailes karibu anapoishi baba Manala na kwingineko Maji wanatoa bure

,πππππ
HAKI itajijuKipaumbele AMANI aha ha ha a ha π π€£
Nawasubiri hapa maswahaba
Uongo au ukweli ...kama ni ukweli siyo mambo yetu ni mambo za mutukufu ya daraja mudi boyMmeanza mambo yenu
Wanawasiliana na majini kwanza...