Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

1;uwe muongo

2;mkatili usiwe na huruma hata kama ndugu yako anateseka

3;uwe tahira/huna akili timamu..
4:..................


5....,.......,.
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,,mie ni shabiki sanaa wa chama cha mapinduzi CCM nilikuwa naomba mnisaidie taratibu za kujiunga na chama na kuwa mwanachama halali na wa kudumu wa CCM....Naombeni mnisaidie jamani
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,,mie ni shabiki sanaa wa chama cha mapinduzi CCM nilikuwa naomba mnisaidie taratibu za kujiunga na chama na kuwa mwanachama halali na wa kidumu wa CCM....Naombeni mnisaidie jamani
Muulize Supreme Leader, -------- kama unataka kujiunga kisirisiri
Kama unataka kujiunga waziwazi muulize Wassira
 
Sasa huo si utakuwa uchawi sasa,,

Masharti ya kujiunga na wachawi lazima uwe mchawi , kama unaona kufuga fisi wa hamasa ni tatizo basi jua huko hakukufai , mwenye zile picha za vigezo vya kujiunga na CCM please ......
 
Back
Top Bottom