Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Ccm ni chama cha watu maskini, kinamjali mtz wa chini, kinatetea maslahi ya wanyonge na kuna usawa na haki....ccm ni chama chako.....

kujiunga nenda tawi lolote la ccm lililo karibu na unaishi au unapofanya kazi, onana na uongozo...gharma ni sh 1500 kadi pamoja na ada kwa mwaka....kidumu chama cha mapinduzi
 
unatakiwa utembeee uchi kwa nusu saa kilomita 50;halafu ujipake kinyesi,hapo utakuwa member kamili wa ccm.Komaa na hizo hatua.
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Uamuzi wa busara kujiunga na ccm yetu
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Mkuu karibu sana chama tawala, nenda ofisi yoyote Ta chama utapata card,
Usije kushangaa kwa kauri za humu, wengi ni wafuasi wa chama ambacho kina sera ya gongo, kwahiyo wana log in wakiwa wamelewa, kipimo chao cha ulevi ni matusi, mwenye matusi mazito ndiyo ameji over dose, achana nao njoo chama tawala cha wastaarabu.
 
Karibu sana.
Raha ya ngoma ingia ucheze. Ndo utajua faida zake.
Nenda kwa mjumbe wako ukiwa na picha yako psize atakupa kadi.

Karibu nyumbani.
 
"MSOMI KAMA WEWE UNAENDA KWENYE TAWI??? kwa elimu yako unatakiwa ukabidhiwe "kadi" na Kikwete hivyo subiri mbio za Mwenge ukipita ulipo hakikisha unazimwa wapi funga safari huko!
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Faida ya kujiunga na chama chetu ccm nikwamba utakua fisadi na ujambazi wako utaufanyia hadharan hakuna atakayekusumbua si jeshi la polisi wala usalama wa taifa. Pia utaweza kwenda kuua tembo wetu kwa urahisi nakusafirisha pembe zao kwenda china kwa urahisi kwakutumia meli ya katibu wetu mpendwa kinana. Kama kweli unataka kadi ya chama chetu kizuri tena chama kilichoshika hatamu chama pendwa na uko dar au mikoani funga safari mpaka tabora ukaonane na Nape na Kinana watakupatia kadi yako mapema tena bure. Office ya lumumba na za mikoani tumezifunga kwa muda na shughuli zote tumehamishia tabora. Karibu sana kwenye familia yetu ya ccm karibu ufahamiane na tembo wetu kwenye mbuga zetu za wanyama.
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

hebu tuondolee uchuro hapa.
 
Elimu yako bado haijakukomboa tu?
Bado unanga'ang'ania ufisadi na unyonyaji kwa raia?
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Aliyekudanganya amekuponza...
 
Karibu sana.
Raha ya ngoma ingia ucheze. Ndo utajua faida zake.
Nenda kwa mjumbe wako ukiwa na picha yako psize atakupa kadi.

Karibu nyumbani.

picha p/size utazikuta hukohuko kwa mjumbe we nenda tu na ela sh.300.unachagua psize unayotaka ,ukitaka ya mzee wa gombe au mzee wa presha inapanda presha inashuka,zote utazikuta huko
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.
karibu sana nenda kwenye ofisi ndogo za tawi pale unapo ishi au ulizia shina la chama, baada ya hapo utapewa utaratibu wa kupewa kadi iliyo halali ya uanachama pia kama umri wako haujasogea utapewa kadi ya umoja wa vijana, faida kubwa ni kua mwanachama halali wa ccm pia fursa utazipata kulingana na eneo husika
 
nenda magogoni getini kuna kadi ziko pale utakabidhiwa na jk, then utatafutiwa kigogo mmoja akuliwaze kwa kukuoa. ni hvyo
 
acheni hizo nyie CCM chama kubwa bwana mkubwa karibu,bana kwenye chama cha wasomi wenye elimu zao,sio hao mambulula wasio jielewa chakufanya we tafuta tawi karibu yako,na faida ni nyingi kubwa ni wewe kuwa na hamu ya kuitumikia jamii yako popote ulipo.
 
Back
Top Bottom