Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na kujikuta navutiwa nacho.
..nina imani nitaweza kulijenga taifa langu kwa umakini zaidi nikiwa kama mwanachama wa CCM .
..kama kuna kiongozi yeyote wa CCM naomba anisaidie namna ya kujiunga na chama na kupata kadi ya uanachama.
Cc Simiyu Yetu FaizaFoxy MSALANI na wanaCCM wote.
Uko wapi mkuu zam pm nikupe maelezo what to do. Karibu kivulini mkuu
 
Siasa za nchi hivi sasa zinaelekea kwenda katika mwelekeo ambao ni tofauti sana na mabadiliko tuliyokuwa tukiyatarajia kwa miaka mingi! Ccm imekuwa ikitawala kwa hisia na wala siyo kama ambavyo madhumuni ya mfumo wa vyama vingi ulilenga.
Hainiingii akilini hata mara moja na wala sijawahi kuwaza kujiunga na ccm.
Naona kama wanachama wengi wa hiki chama wamekaa kinafiki nafiki tu na wanachuki na ubinafsi sana!
Kwanza huwa nikiyaona mavazi yao ile rangi inanifanya najisikia vibaya vibaya tu!
Tokea tumepata uhuru hiki chama kimekuwa kilevi kwa upande wa madaraka na hakitaki kushindwa hata kama kimeshindwa kweli.
...viongozi kutoka hiki chama hutoa vitisho na hata kuwasweka ndani wanaowapinga hata kwa hoja!
Hivi kweli mwenye akili timamu ataanzaje kujiunga na hiki chama?
Kina ushawishi gani, hata na mimi nivutiwe siku moja nijiunge na hiki chama..
 
Back
Top Bottom