Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Laiti ungeusikiliza Moyo wako kuliko kungoja majuto!
 
Kama una malengo karibu ssm, ila kama hauna malengo kaa huko hadi mjukuu wa mbowe atakuwa mwenyekiti wa chama wewe ata ujafahamika kwenye kata...! Upinzani menu umenishinda kitambo niko ccm kivulini mie..! Namba ya kadi tangu hiyo hapo chini.
89470b4225e913f8da80fa32992dc13e.jpg
 
Huwezi kujiunga na chama makini kama CCM mpaka kwanza uache tabia za kinyumbu.

Pia akikisha umeacha ulofa
 
Hiyo ni hatua ya Mwisho ya kuugua uchizi,haiwezekani kijana makini anayejitambua atamani kuwa mwanaccm ningekuona wa maana kama ungetamani kufa kuliko kutaka kujaribu kuwa mwanaccm.Kuwa mwanaCCM ni laana.
 
Kunywa viroba full time,
Hakuna mwanaCCM anayeweza kukaa sober akatulia ni mwendo wa viroba tu kujizuiya akili isije ikakurudi.
 
Kama una malengo karibu ssm, ila kama hauna malengo kaa huko hadi mjukuu wa mbowe atakuwa mwenyekiti wa chama wewe ata ujafahamika kwenye kata...! Upinzani menu umenishinda kitambo niko ccm kivulini mie..! Namba ya kadi tangu hiyo hapo chini.
89470b4225e913f8da80fa32992dc13e.jpg

Acha kumtia mwenzako Ujinga,tuambie ni malengo gani anayoweza kuyafikia mtu kwa kuwa mwanaccm,fikra za aina yako ndizo zinazowafanya vijana wengi waishie kushangilia push-ups na ahadi za Kilimo cha umwagiliaji wa ubuyu.Unashindwa kujibidisha kwenye kazi unaishia kuzurura kwenye korido za Lumumba kupigia watu makofi,huo ni ulofa usiyoweza kuelezeka na mtu akakuelewa.
 
Ccm kivulini huu mchezo wa siasa hautaki hasira mjomba, ukijamba kwa hasira utajinyea mkuu...! Taaaratibu ushuzi unatoka na bado ni mtafutano nani kautoa..
 
Samahani,nilikuwa sijuwi kama huko Lumumba mnajambishana,endelea kujambishwa mkuu,ila kama umenogewa na tabia hiyo ya kujambishwa si uendelee nayo peke yako? Kwa nini uwavute na wengine huko?Kumbe umetimiza lengo lako la kujambishwa,basi sawa Mimi sikulifahamu hilo ndiyo Maana nikahoji hayo malengo yako yaliyotimizwa kwa wewe kuwa mwanaccm.
 
Back
Top Bottom