Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Achana na wanywa viroba nenda ofisi yeyote ya ccm watakupa utaratibu
 
Mkuu mleta mada,

Karibu sana kwenye chama imara, chama cha kudumu Tanzania, chama chenye taswira ya utaifa, chama cha kutoa nafasi na fursa kwa yeyote mwenye uwezo kuwa kiongozi wa chama na serikali.

Chama chenye uadui mkubwa na ufisadi, wizi, ubaguzi na unyanyapaa wa namna yoyote ile. Chama chenye uwazi! Chama chenye kuhubiri kwa vitendo sera ya kujitegemea kwa kuwa na raslimali zake na kuzitumia kwa maendeleo ya chama na kwa Watanzania kwa ujumla.

Karibu CCM

Note: Taratibu za kuingia CCM kwa maana ya uanachama tembelea ofisi za tawi la CCM katika mtaa wako.

hawa ndo magreat thinkers wanajibu hoja sio kuropoka!!!
 
Nakushauri usiende CCM mama,nenda CCM mtoto,kama ni mbara ACT,na kama ni mzenji ADC.
CCM imeshajaa,utaumia bure.
Si unaona akina Shonza na wenzake?
Nenda ACT kuna hela kule,700m zinakuja soon.
 
Rahisi sana. Fuata hatua hizi..
1. Uje na kichwa cha albino.
2. Uje na fisi.
3. Tunguli.
4. Uwe na kaelement kaushoga kama Lusinde.
5. Ujue kuropoka kama Nape.

Baada ya hapooo.
- mboga milioni 10
- bilioni ni vijisenti.
- utazifahamu richardmonduli, mahepa, madowans.
Marafiki zako watakuwa tibejujka, jokakengesa, rugemalikula, singaiba. N.k
nawasilisha
 
Mkuu mleta mada sijakuelewa
Ina maana na we umepania zile kofia za kijani za bure mwaka huu zisikupite?
Karibu tugaiwe sote
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,,mie ni shabiki sanaa wa chama cha mapinduzi CCM nilikuwa naomba mnisaidie taratibu za kujiunga na chama na kuwa mwanachama halali na wa kudumu wa CCM....Naombeni mnisaidie jamani

Kajifunze wizi wa mali za umma.Kuua watanzania wanyonge wasio na hatia.Kuua watu wenye Ulemavu wa ngozi,ushirikina,ubaguzi wa kidini,ukanda na ukabila.Kutoa na kupokea rushwa ufisadi,madawa ya kulevya na ujangili wa nyara za serikali hasa meno ya Tembo...Ah nimesahau WIZI WA KURA WAKATI WA CHAGUZI
 
Mkuu kwani uko maeneo ya wapi? Tafuta ofisi za CCM zilizo karibu nawe, hapo utapata utaratibu wote wa kujiunga na wananchi wengine wa Tanzania walio wengi walioamua kuwa watabaki wazalendo mpaka mwisho! Karibu sana Mkuu!
Mungu aendelee kukupa busara na hekima za kutambua mbivu na mbichi kama hivi! wengi hawakupata Neema hii!
 
Wenzako nafsi zinawasuta kwa usariti wanaowafanyia Watanzania na kutafuta namna yakutoka alafu wewe unatafuta uingieje.polesana ndugu
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,,mie ni shabiki sanaa wa chama cha mapinduzi CCM nilikuwa naomba mnisaidie taratibu za kujiunga na chama na kuwa mwanachama halali na wa kudumu wa CCM....Naombeni mnisaidie jamani
Mimi nakushauri kabla ya kujiunga na CCM ni bora ungelikwenda kwa daktari wa akili kwasababu huenda ukawa unaugua maradhi ya uendawazimu.
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,,mie ni shabiki sanaa wa chama cha mapinduzi CCM nilikuwa naomba mnisaidie taratibu za kujiunga na chama na kuwa mwanachama halali na wa kudumu wa CCM....Naombeni mnisaidie jamani
Kwanza kamwone dakitari wa upasuaji wa vichwa aondoe ubongo kwani ukienda kujiunga huko na akili zako hutapokelewa na kama una bahati ukipokelewa utafukuzwa kama utaonyesha unazo :becky:
 
Naomba msaada kijana mwenzenu nafsi yangu inanisaliti.

Natamani kujiunga CCM na nimeshajaribu kuchukua kadi za uanachama mara mbili lakini nafsi inanisuta na kuzirudisha ama kutupa!

Nataman kuwa mwanachama wa CCM ila kila napojaribu roho inauma naona najisaliti kabisa

Nawaomba mlio huko CCM mnipe mbinu mnazotumia kuwa wanaccm maana me nashindwa mpaka najiuliza iv ningali kijana nina nguvu na akili zangu iweje niwe ccm? Si uchizi au ntakuwa nimepungukiwa akili?

Sasa naomba msaada maana nina malengo ya kugombea UVCCM 2017 tafadhali vijana wenye roho ngumu mlioweza nisaidoeni na mimi niweze
Maana kuna wakati huwa kabisa najiapiza me ni ccm ila likitokea jambo la kitaifa nakuta natetea upande wa upinzani

Sasa hata ikitokea nikagombea na kupata nafasi si nitakuwa najikuta napingana nao wanifukuze?
 
Back
Top Bottom