Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Mkuu mleta mada,

Karibu sana kwenye chama imara, chama cha kudumu Tanzania, chama chenye taswira ya utaifa, chama cha kutoa nafasi na fursa kwa yeyote mwenye uwezo kuwa kiongozi wa chama na serikali.

Chama chenye uadui mkubwa na ufisadi, wizi, ubaguzi na unyanyapaa wa namna yoyote ile. Chama chenye uwazi! Chama chenye kuhubiri kwa vitendo sera ya kujitegemea kwa kuwa na raslimali zake na kuzitumia kwa maendeleo ya chama na kwa Watanzania kwa ujumla.

Karibu CCM

Note: Taratibu za kuingia CCM kwa maana ya uanachama tembelea ofisi za tawi la CCM katika mtaa wako.
 
Asantee sanaa mkuu kwa kunielewesha vizuuri na nimekuelewa sanaaa na nina kuahidi nitafanya hvyo kama ulivyo nielekeza
 
Mkuu, sijakuelewa ni CCM ipi? hii hii inayolipa mishahara marehemu na wastaafu??
 
Kama ni mwanaume, lazima ukaolewe kwanza, uwe na tabia za yule mzee wa ki-gogo mbeba mabox asiyejitambua. Au uwe na akili kama ya Laki si pesa utakuwa ume-qualify kujiunga na kundi la mazuz.u
 
Wenye mawazo ya Kijizi,kishetani,kishenzi hukimbilia ccm..!!

Kwendraaaaaaa

BACK TANGANYIKA
 
....natapika baada ya kusikia neno ccm ....
 
Mleta mada kachungulia fursa unajiunga na ccm kipindi cha neema
Ule mgao wa escrow ndio wanaanza kugawa
 
Mkuu mleta mada,

Karibu sana kwenye chama imara, chama cha kudumu Tanzania, chama chenye taswira ya utaifa, chama cha kutoa nafasi na fursa kwa yeyote mwenye uwezo kuwa kiongozi wa chama na serikali.

Chama chenye uadui mkubwa na ufisadi, wizi, ubaguzi na unyanyapaa wa namna yoyote ile. Chama chenye uwazi! Chama chenye kuhubiri kwa vitendo sera ya kujitegemea kwa kuwa na raslimali zake na kuzitumia kwa maendeleo ya chama na kwa Watanzania kwa ujumla.

Karibu CCM

Note: Taratibu za kuingia CCM kwa maana ya uanachama tembelea ofisi za tawi la CCM katika mtaa wako.

Teh teh teh.... mbavu zangu jamani daaaah

Wakuu mnisomee kilichoandikwa kwenye red hapo mweeeeeh, hiko chama kiko nchi gani wadau..?

BACK TANGANYIKA
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu,,mie ni shabiki sanaa wa chama cha mapinduzi CCM nilikuwa naomba mnisaidie taratibu za kujiunga na chama na kuwa mwanachama halali na wa kudumu wa CCM....Naombeni mnisaidie jamani
Una qualifications zote au unajiingiza kichwa kichwa tu!!? Ok labada nikusaidie, hakikisha haya yafuatayo unauzoefu nao na sio chini ya miaka mitano. UWE NA TABIA YA KUSEMA UONGO,UWE NATABIA YA KUMDHARAU MTANZANIA MWENZAKO,HAKIKISHA UNAUZOEFU WA KUDOKOA AMA KUIBA LIVE MCHANA,USIWE NA UPENDO NA HURUMA NA TAIFA LAKO YAANI TZ,na mwisho UWE MPENDA NGUVU ZA GIZA.
 
Back
Top Bottom