Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

ili ujiunge na ccm uwe na sifa zifuatazo
1:uwe muongo ccm hawapendi watu wa kweli muulize warioba
2:uwe mwizi ccm ni wezi ushahidi upo bilioni 200
3:uwe unajua kupiga mabomu kama chemba ya mavi
4:uwe na uwezo mdogo wa kufikiria kama komba
5:matusi na kejeli ndio sera za ccm kutokana hawana hoja matusi ndio hoja zao
6:uwe mvivu na usingizi uwe ndio rafiki yako
7:adui wa tanzania ni rushwa ila ccm ni marafiki wa rushwa na ubwabwa ndondo zihusike kwa sana
8:uwe unawaponda ukawa hasahasa lisu hapo utakuwa hata mweka hazina

nb:hii siri yako uongozi ccm ni wakifalme wanarithishana
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.
Hahahaaaaaa! We kweli bundi utaheshimakaje wakati unajiunga na mtandao wa wala rushwa na wapinga maendeleo ya wananchi wake!?fuatilia kwanza tuhuma za ufisadi na maamuzi yaliyo tolewa kwa wahusika,wizi wa mabilioni ya wananchi na maamuzi yaliyo fikiwa ,utekaji,utoaji kudha na meno,uuwaji eg, MVUNGI,biashara ya madawa ya kukevya,upatikanaji wa madawa mahospiali ya serikalli wakati mabilioni hazina yanaibiwa na hakuna hatua madhubuti za kuzuia hilo na kuwakamata achilia mbali kuwahoji wahusika,ulipwaji wa watumishi wa umma,ujangili wa tembo na twiga,mabomu yankuruwa kwa mkono na hatua zilizo chukuliwa kama serikali ya ccm hai husiki nk. Halafu baada ya hapo jitathimini kama unafaa kuwa ccm au bora uendelee kubaki bilaq chama au ukajiunge na kwaya au kikundi cha qaswida.
 
Km wewe ni msichana ujiandae kuwa chakula ya kina nape na zzk
km ni mwanaume uwe tayar kukabidh taaluma yako kwa wenye nazo/mafisad
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Mkuu tafuta tawi la CCM lililo karibu nawe, utapewa kadi na utakuwa mwanachama halali wa CCM. Karibu sana kwenye TIMU YA USHINDI.
 
Thibitisha kwanza kama una akili za Maiti...

Ili udumu katika huo ukoo wa panya lazima uwe na akili za maiti na kufumbia macho uozo na wizi wa mchana kweupe. Kama ni mwanadada bajeti ya kununua ch*pi futa kabisa kwa hazitahitajika.
 
Mkuu tafuta tawi la CCM lililo karibu nawe, utapewa kadi na utakuwa mwanachama halali wa CCM. Karibu sana kwenye TIMU YA USHINDI.

Uwe na huruma unamakaribisha mwenzio kwenye kundi kla wapiga dili na wala rushwa mashuhuli,!? Au mnataka awe punda kuvusha madawa JNIA
 
hivi siku hizi kadi za uanachama wa interahamwe zinapatikana jf! Hivi huyu kilaza anayejiita msomi hafahamu zinapopatikana au ndo madhara ya kubwia unga hajielewi????
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Karibu sana kwenye chama uje ujiunge na wenzio waliotangulia kama huyu hapa mwenye mahaba ya kweli na chama.



Sent from my iPad using JamiiForums
 
Karibu sana kwenye chama uje ujiunge na wenzio waliotangulia kama huyu hapa mwenye mahaba ya kweli na chama.



Sent from my iPad using JamiiForums

ImageUploadedByJamiiForums1400400615.613943.jpg


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

easy... Masharti ni madogo sana, Lazima uwe mtu wa majungu, uwongo mwingi, fitna na hata kuua ikibidi kwa maslahi ya chama! UZALENDO kwetu Mwiko kwani sisi sote tuko kwenye sayari hii Dunia! Wazungu wakifaidika kutokana na rasilimali zetu automatically CCM inafaidika kwa kupata misaada kibao! Ujangili si mbaya kwani baadhi ya wanyama wanaharibu mazao wakiwemo Tembo! Kuwa tayari kubadilika na kukubali kuwa shoga kwani wahisani wanataka tuwe sawa Mwanzo mwisho!!! Utekaji na mauaji ni sehemu ya drills ambazo huwa tunazifanya zikiwa na malengo ya kuonyesha Vigilance kwa wapinzani wetu!!! Uwe tayari kusafirisha Sembe ikibidi ...Tambua kuwa mapato ya sembe hutumika kuwahonga mawakala uchaguzi kwa maslahi mapana ya CCM... Karibu sana Mkuu, Huku mambo yako yatanyooka faster ... Ushindi ni lazima kwa gharama yoyote ile ...Kidumu Chama chamapinduzi!!!!
 
Ukitaka kujiunga na CCM, njia rahisi ni kufika katika ofisi zao. Kama hujui ziliko nenda hata kwa kiongozi wa nyumba kumi (balozi) Au hudhuria mikutano yao kwani siku hizi huwa wanatembea na kadi zao.Kwa elimu uliyo nayo naamini hayo ulitakiwa uwe unayajua. Kwani yale matatizo ya elimu ya msingi na sekondari yameingia na vyuoni mara hii?

Faida:

1. Utafaidi sana but just for now, kwani kile ni chama cha wala rushwa na mafisadi, you just need to know what buttons to press. You do it right,umeula. Ila nikutahadharishe kuwa kila utakachokula ni mali ya wananchi wengine waliodhulumiwa sehemu, aidha kwa mafungu ya huduma za jamii yaliyopigishwa chenga, kwa ushuru na kodi zilizokwepwa, au kwa maliasili kama Madini na meno ya tembo. Pia if hazijaibiwa huenda zikatoka kwenye miradi haramu kama ya madawa ya kulevya.

Angalizo: Wakati unaanza kula kaa ukijua kuwa mwisho wa CCM unakaribia, na baada ya wananchi kujichukulia nchi yao tutapenda wote walioshiriki hujuma washughulikiwe. Itakuwa mbaya kuwa utafaidi kwa muda mfupi tu kuliko wenzio waliokutangulia.


Hasara:

Hasara pekee ni kupoteza uhuru, kwani kwa sasa wananchi wote wanaungana pamoja kutafuta jinsi ya kumtoa nyoka huyo (CCM) nchini. Kwa hiyo kwa sasa hata kama utatokea kupata pa kulia (ingawa kwa ulivyoshindwa hata namna ya kujiunga, pamoja na elimu yako, ni wazi hutaona myanya ya kula) bado hutakaa kwa amani.

Pia in fase two (baada ya uhuru) kutafuata kipindi cha kuwajibishana na kushughlikiana. Sasa hapo utajikuta unakabiliana na sheria na sidhani kama (kwa ulivyoshindwa mambo madogo madogo) utaweza hata kujificha! Wenzio walioanza mapema tayari walishaiba vya kutosha, na wameshajilimbikizia mali na fedha walizoficha Uswisi na kwenye mabenki mengine ya nje! Wakati ukifika,wao watatoroka na kuomba hifadhi za kisiasa. Wewe mpaka wakati huo sidhani kama utakuwa na nauli hata ya kusafiria. Kwa hiyo itabidi usubiri kushughulikiwa tu. What I am saying here ni kuwa, umeamua kujiunga na CCM in a wrong time.

Ushauri: Kwa nionavyo mimi kujiunga kwako na CCM kwa wakati huu, kuna hasara kubwa zaidi kuliko faida. Kwa hiyo nashauri uchague wisely. Unless you have a death wish, you can't consider joining CCM, at least not at these times. And I am sorry that I can't tell you where to go. If you consider not joining CCM you gonna have to do your homework better.

Sijui kama hii itakuwa imekusaidia.
 
nakushauri kama unataka kwenda huko jifunze kwanza yafuatayo ,mwone kibajaji akupe kwanza course ya matusi,mwone domo akufundishe kupayuka ovyo,mwone makonda akufundishe kutukana wenzake ili upate umaarufu harakaharaka,muone mw--akufundishe dharau ili upate uwaziri fasta,mwisho muone jaji walio..ili akupe maelekezo ya kwamba huko uendako mkikubaliana kusema hapana ni hapana hata kama jambo lenyewe ni la kusema ndio, mwisho jitafakari je wewe baba yako au babu yako alikifanyia nn chama,vinginevyo yatakukuta ya akina mwakalebela,nsanzugwaku,mwananzila na-----,.ukifuata hayo utaishi ccm
 
Back
Top Bottom