Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Kamanda umeshawapima akili zao haya rudi kwenye ukombozi wa kweli chadema! Mana umemsikia msalani mwenyewe kashindwa kukujibu maswali yako anasema tu karibu,anadhani nawewe ni fara
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Haina Haja Ya Kutafuta Kadi We Ishi Maisha Ya Ki Ccm Ccm Tu Utakuwa Tayari Mwana Ccm Wala Usihangaike
 
ukitaka kujiunga na ccm, njia rahisi ni kufika katika ofisi zao. Kama hujui ziliko nenda hata kwa kiongozi wa nyumba kumi (balozi) au hudhuria mikutano yao kwani siku hizi huwa wanatembea na kadi zao.kwa elimu uliyo nayo naamini hayo ulitakiwa uwe unayajua. Kwani yale matatizo ya elimu ya msingi na sekondari yameingia navyuoni mara hii?

faida:

1. Utafaidi sana but just for now, kwani kile ni chama cha wala rushwa na mafisadi, you just need to knowa what buttons to press. You do it right,umeula. Ila nikutahadharishe kuwa kila utakachokula ni mali ya wananchi wengine waliodhulumiwa sehemu, aidha kwa mafungu ya huduma za jamii yaliyopigishwa chenga, kwa ushuru na kodi zilizokwepwa, au kwa maliasili kama madini na meno ya tembo. Pia if hazijaibiwa huenda zikatoka kwenye miradi haramu kama ya madawa ya kulevya.

angalizo: wakati unaanza kula kaa ukijua kuw mwisho wa ccm unakaribia, na baada ya wananchi kujichukulia nchi yao tutapenda wote walioshiriki hujuma washughulikiwe. Itakuwa mbaya kuwa utafaidi kwa muda mfupi tu kuliko wenzio waliokutangulia.


hasara:

hasara pekee ni kupoteza uhuru, kwani kwa sasa wananchi wote wanaungana pamoja kutafuta jinsi ya kumtoa nyoka huyo (ccm) nchini. Kwa hiyo kwa sasa hata kama utatokea kupata pa kulia (ingawa kwa ulivyoshindwa hata namna ya kujiunga pamoja na elimu yako, ni wazi hutaona myanya ya kula) bado hutakaa kwa amani.

Pia in fase two (baada ya uhuru) kutafuatakipindi cha kuwajibishana na kushughlikiana. Sasa hapo utajikuta unakabiliana na sheria na sidhani kama (kwa ulivyoshindwa mambo madogo madogo) utaweza hata kujificha! Wenzio walioanza mapema tayari walishaiba vya kutosha, na wameshajilimbikizia mali na fedha walizoficha uswisi na kwenye mabenki mengine ya nje! Wakati ukifika,wao watatoroka na kuomba hifadhi za kisiasa. Wewe mpaka wakati huo sidhani kama utakuwa na nauli hata ya kusafiria. Kwa hiyo itabidi usubiri kushughulikiwa tu. what i am saying here, ni kuwa umeamua kujiunga na ccm in a wrong time.

ushauri: kwa nionavyo mimi kujiunga kwako na ccm kwa wakati huu, kuna hasara kubwa zaidi kuliko faida. kwa hiyo nashauri uchague wisely. Unless you have a death wish, you can't consider joining ccm, at least not these times. And i am sorry that i can't tell you where to go. If you consider not joining ccm you gonna have to do your homework better.

sijui kama hii itakuwa imekusaidia.

umejenga hoja vizuri mkuu anatakiwa awe tayari kwa siasa za maji taka
 
...

....Maisha bora !!!


attachment.php
 
uwe tayari kuwa mtumwa wa madaya ya kulevya ccm ni chama cha wahuni na washenzi wakubwa unauliza humu kwani umeambiwa kuna ofisi humu jf ya chama cha wahuni na washenzi wakubwa ccm..
 
Kama nilivyosema,nataka kujiunga na CCM, mimi nina elimu ya shahada na cheti cha taaluma. Sasa kabla sijajiunga naomba wana CCM mniambie
1. Je kuna faida gani ya kua mwanachama wa CCM.
2. Kadi naipata wapi ya uanachama.

Naomba mtu asijaribu kuhoji uamuzi wangu, Tuheshimiane.

Simple wewe kuwa fisadi mla rushwa automatically unakua mwanachama wa ccm
 
Ushauri wangu kwake ajiunge na ACT.. kwa umri wake anatakiwa aanzie na ccm b ambayo ni act.. Amuone bwana Kitila pale.. Baadae watampandisha daraja..
 
1.sehemu za kupata kadi ni nyingi unaweza mwona nnape au kinana 2.faida zake ukibahatika kupata uongozi hata ujumbe ujue umeula.lakini inatakiwa usiwe na hofu ya mungu.maana hulo ni ufisadi mtupu.
 
shidano za kujitoa ufahamu anazo. MSALANI lazima uchomwe kama zile za pepopunda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom