Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

Wananchi wengi na Diaspora wa Iran hawataki vita iishe mpaka wakombolewe

Wa Iran ni magenius, unavyowaona wanafurahia kinachoendelea sio wajinga wa kushikwa masikio, tena hawana muda kabisa na ishu za kidini ndio maana misikiti zaidi ya elf 50 imefungwa Iran, wao wanachotaka ni uhuru wa taifa lao.

wanajua hakuna kitu kama free lunch, lazima Marekani na Israel watanufaika kwa namna moja a nyingine lakini kwao itakuwa win win situation .
Haitawzekana hao diaspora ni mamluki, sawa Leo mange aseme Samia atokee hiyo imekaa sawa?
 
Mwisho wa hii vita atakayeshinda ndiye ataweka masharti lakini sio sasa.

Yaani Iran anaweka Masharti wakati kiongozi wao hata kuzungumza tuu anajificha kama panyabuku.
 
Haitawzekana hao diaspora ni mamluki, sawa Leo mange aseme Samia atokee hiyo imekaa sawa?
Hakuna mamluki, Tena Diaspora wana afadhali, ndani ya nchi wiki chache tu zilizopita, internet ilizimwa serikali ikaua wairan zaidi ya elf 40 waliokuwa wakiandamana, serikali mwanzo ikasingizia wametoka nje, badae ikakiri ni wairan ila wakapunguza idadi
 
Hayo ndio masharti ya Iran mimi nimetumiwa message muamini msiamini ndio masharti hayo
Mtanyooka tu Acheni ujinga Ayatollah Majitaka mwenyewe yuko hai bin taabu I hayo Mashariki mmetunga ninyi Waarabu-koko!!!
 
Attachments

  • IMG_5138.jpeg
    IMG_5138.jpeg
    147.7 KB · Views: 8
Mwambie aonyeshe mkono mwingine tuuone Ana Tumia mkono mmoja kama kilema kaponea chupuchupu huyo!!
Wewe ile picture ulio tuwekea sio ya Mujtaba khomen mikono yake yote iko salama tazama vizuri afu uio ndio protocol ya Murshid ndivyo anavyo takiwa akae anapo ongea.

Vipi ndugu yake Netanyahu Iddo yupo hai na yule kichaa Ben Gvir vyombo vya habari vya Israel vinadai kuwa Itamar Ben Gvir alikufa katika 'ajali ya gari' haha kumbe kauliwa na kombora la Iran.
 
1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.

2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani wa Trump kwa Ghaz'aa.

3. Kuzingirwa na vikwazo dhidi ya Iran lazima viondolewe, na mali zake zilizozuiliwa ziachiliwe na kurudishwa Iran.

4. Dunia lazima itambue mpango wa nyuklia wa amani wa Iran.

5. Chombo cha Israeli lazima kiache kukiuka uhuru wa Lebanon kwa ardhi, bahari, na hewa, na kiondoke Syria.

6. Iran lazima ifidiwe kwa uharibifu uliopatikana kutokana na vikwazo, kuzingirwa, na uchokozi uliowekwa bila sababu na ukiukaji wa sheria za kimataifa.

7. Kuzingirwa dhidi ya Yemen lazima kiondolewe, fidia inayohitajika ilipwe, na chombo cha kiyahudi lazima kiondoke kutoka maeneo yanayokaliwa na Saudi Arabia na UAE.

8. Kambi za Marekani lazima ziondoke katika ardhi za Kiarabu mara moja.

9. Trump, utawala wa Marekani, na serikali ya Israeli lazima watoe msamaha rasmi na wa hadharani kwa kumlenga Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ali Khamenei (Mungu aitakase roho yake), Sayyed Hassan Nasrallah, Sayyed Hashem Safieddine, na shahidi Ismail Haniyeh
Mungu awafurahishe, kwa sababu kwa kuwalenga walikiuka sheria na kanuni za kimataifa za ushiriki, na kuhatarisha amani ya dunia.

Je, hawa ni viongozi, na je, wanalenga viongozi wanalenga suluhu?

Kwa nguvu na msaada wa Mungu, Iran itafanikiwa kuweka masharti haya.
Duh! Sema waIrani jamaa wanaroho ngumu sana, wazungu hii hawawezi.
 
Wewe ile picture ulio tuwekea sio ya Mujtaba khomen mikono yake yote iko salama tazama vizuri afu uio ndio protocol ya Murshid ndivyo anavyo takiwa akae anapo ongea.

Vipi ndugu yake Netanyahu Iddo yupo hai na yule kichaa Ben Gvir vyombo vya habari vya Israel vinadai kuwa Itamar Ben Gvir alikufa katika 'ajali ya gari' haha kumbe kauliwa na kombora la Iran.
Mwenye uwezo wa kuua viongozi duniani ni Wanawa Israel tu hakuna mwingine.

Wafuga Midevu ns Majini wote hawawezi kuua kiongozi yeyote wa Israel!!

Wamejitahidi sana wakisaaidiwa na Waarabu-Koko kuwaua viongozi wa Israel kwa Maneno lakini wameshindwa!!

Wamediriki kumuua kwa Maneno Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,Waziri wa Fedha wa Israel.Waziri wa mambo ya ndani wa Israel, Mkuu wa majeshi wa zamani wa Israel,Mkuu wa majeshi ya anga wa Israel na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Israel.

Walishawahi pia kuushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion wakauchakaza vibaya sana na wakaweka na picha za AI kuonyesha walishauharibu kwa maneno na kwa hisia cha kufurahisha uwanja huo hata leo unafanya kazi kama kawaida.

Hawa wote waliuwawa kwa maneno cha kushangaza wako hai hata sasa kila mmoja anaendelea na shughuli zake.

Kwa Wafuga Midevu na Majini hiyo inaitwa TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao!!!
 
Attachments

  • IMG_20260310_110835_471.jpg
    IMG_20260310_110835_471.jpg
    131 KB · Views: 14
  • IMG_20260310_110740_846.jpg
    IMG_20260310_110740_846.jpg
    166.4 KB · Views: 13
  • IMG_20260310_110710_788.jpg
    IMG_20260310_110710_788.jpg
    111.6 KB · Views: 16
  • IMG_20260310_110710_628.jpg
    IMG_20260310_110710_628.jpg
    86.8 KB · Views: 11
Sidhani kama ni matamko ya serikali ya Iran huyo jamaa kajiandikia tu
Huyo kaandika tu mawazo yake hewa.

Jana Iran haijatoa sharti hata moja, bali imeomba tu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusaidia kusimamisha vita. Pia Iran imelaumu Baraza la Umoja wa mataifa kutotoa tamko lolote dhidi ya Israel na Marekani kwa kuivamia Iran.

Hawa wanaoandika uwongo, sijui wanafaidika na nini! Watu wanazidi kupoteza uhai, Iran zaidi ya watu 1,300 (taarifa rasmi ya Iran), Lebanon watu zaidi ya 500 (taarifa rasmi ya Lebanon), Israel watu 11 (taarifa rasmi ya Israel), USA askari 7 (taarifa rasmi ya USA), na wengine kadha huko Bahrain, Dubai na Kuwait, na mamia ya majeruhi kwa nchi za Israel na USA na maelfu kwa Iran; halafu watu wanafanya ushabiki kama vile ni mchezo wa Simba na Yanga!! Uhai wa mwanadamu, hata kama ni mtu mmoja, unastahili kulindwa.
 
Mwenye uwezo wa kuua viongozi duniani ni Wanawa Israel tu hakuna mwingine.

Wafuga Midevu ns Majini wote hawawezi kuua kiongozi yeyote wa Israel!!

Wamejitahidi sana wakisaaidiwa na Waarabu-Koko kuwaua viongozi wa Israel kwa Maneno lakini wameshindwa!!

Wamediriki kumuua kwa Maneno Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu,Waziri wa Fedha wa Israel.Waziri wa mambo ya ndani wa Israel, Mkuu wa majeshi wa zamani wa Israel,Mkuu wa majeshi ya anga wa Israel na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Israel.

Walishawahi pia kuushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion wakauchakaza vibaya sana na wakaweka na picha za AI kuonyesha walishauharibu kwa maneno na kwa hisia cha kufurahisha uwanja huo hata leo unafanya kazi kama kawaida.

Hawa wote waliuwawa kwa maneno cha kushangaza wako hai hata sasa kila mmoja anaendelea na shughuli zake.

Kwa Wafuga Midevu na Majini hiyo inaitwa TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao!!!
Israel bila kumtumia yule Ismail Qaan asinge weza wauwa hao viongozi wa Hezboullah na wa Iran huyo alikuwa anaenda meeting mara ajidai anachelewa kidogo wamsubiri au anajidai kana anaenda jisaidia kumbe alikuwa anawauza wenzake sijui kwanini Iran walimuamini mimi toka nilipo ona sura yake niligundua ndiye aliye sababisha vifo vya makamanda wa Hezbullah na Nasurlah

Sa huo uwezo hana tena yule mnafiki hayupo tena.

Sa subiri USA aondoke wa baki Israel na Iran tuone kama bibi yenu hata ataongea tena atakuwa jwenye shimo tu
 
Endelea kutafuta visingizio visivyo na maana yoyote!!
 
Mwambie aonyeshe mkono mwingine tuuone Ana Tumia mkono mmoja kama kilema kaponea chupuchupu huyo!!

View: https://youtube.com/shorts/kqWRaQP_8uE?si=tMp_3KLApK0YoaXC

Ujumbe wa Ayatollah Mujtaba ni huu hapa USA ananitishia kuniuwa hajui hakuna kitu kizuri nacho kitafuta kama kuuliwa nacho kitafuta ni Alshahada kwa hio mimi sitishiki na kifo.

View: https://youtube.com/shorts/S-WeGDDgynw?si=CjgjT3Igttuvv5y2

Waisrael wanamlalamika Ayatollah Mujtaba toka kaingia wanapata kipigo sio cha kawaida.

Afu kwa information kisha sema hakuna mazungumzo kwenye Nuclear tena kawambia Iran mazungunzo ya Nuclear wasahau tutakuwa na Nuclear watake wasitake aliye kuwa anaongea nao na anakataa Iran wasiwe Nuclear wamemuwa
 
We mbona mbishi hata USA kaona aibu imebidi aombe samahani bada ya kubanwa na kuona Iran anapiga mpaa mahotelini walipo jificha askari zake

View: https://youtu.be/_k6ZznnUJw0?si=q8WQweqcOQ0Hpe3q

Kwa hiyo akiomba Samahani ndipo ataacha kumwingilia kinyume na maumbile Iran?

Endeleeni tu kutengeneza video fake kuficha udhaifu wa majeshi ya Iran kwenye uwanja wa vita ambako ameelemewa mpaka Naomba Ceasefire ili kunusuru Askari na viongozi wake!!!!!!
 
YAAN WAKIKUTANA NA BIJIRA 72 WALE WANAJESHI WOTE NDIO VITA INAISHA
ELSE MPAKAA IISHE
 
Kwa hiyo akiomba Samahani ndipo ataacha kumwingilia kinyume na maumbile Iran?

Endeleeni tu kutengeneza video fake kuficha udhaifu wa majeshi ya Iran kwenye uwanja wa vita ambako ameelemewa mpaka Naomba Ceasefire ili kunusuru Askari na viongozi wake!!!!!!
Wapi Iran kaomba ceasefire pole sana aliye changanyikiwa ni USA wala si Iran.

Israel anapokea kipondo cha mbwa koko we endelea na story za kikanisa

View: https://youtube.com/shorts/vhUYN_ufR5Y?si=w_Vswgx0MZrAVdpv
 
Back
Top Bottom