Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

Masharti ya Iran ya Kusimamsha Vita

Wapi Iran kaomba ceasefire pole sana aliye changanyikiwa ni USA wala si Iran.

Israel anapokea kipondo cha mbwa koko we endelea na story za kikanisa
Wote tunajua Al Jazeera ndiyo mtetezi wa magaidi wa kiislamu duniani ndiye kasema.
Al Jazeera ndiyo mdomo wa magaidi wakitaka kuzungumza wanawatafuta Aljazeera kutoa dukuduku lao!!!!

Sasa hivi tumeanza kusikia milio na bado hakuna ceasefire mmezoea safari hii mpaka mtume ndoano Mbwa nyie!!!
 
Attachments

  • IMG_5148.jpeg
    IMG_5148.jpeg
    216.5 KB · Views: 8
Wote tunajua Al Jazeera ndiyo mtetezi wa magaidi wa kiislamu duniani ndiye kasema.
Al Jazeera ndiyo mdomo wa magaidi wakitaka kuzungumza wanawatafuta Aljazeera kutoa dukuduku lao!!!!
Hahaha safari hi Aljazeera anawasaidia USA na Israel yupo against Iran hizo ni fake news . Fatilia news zote za Aljazeera wapo against Iran
 
Al Jazeera toka lini ikiwa fake news kwako? Au kwa sababu wamesema kinyume na wewe? Israel wana huruma sana kuna uwezekano wakamkubalia
 
Unamsikiliza huyo MBWA!?
ALJAZEERA HAJATANGAZA IRAN KUOMBA CEASEFIRE.
Nipo na Aljazeera app hapa kila napoenda notification za habari zinakuja.
Aljazeera hajawahi tangaza kuwa Iran inaomba ceasefire.
 
Al Jazeera toka lini ikiwa fake news kwako? Au kwa sababu wamesema kinyume na wewe? Israel wana huruma sana kuna uwezekano wakamkubalia
We msafisha vyoo nimeisha kueleza USA anamkimbia karibuni Israel na Iran hasimamishi vita na Israel mpaa Netanyahu alambishwe mchanga au akahukumiwe kwa mauwaji yake.

Ujumbe wa Iran ni huo hakuna mafuta kupita Hormouz mpaa wafukuze wa Israel au wavunje uhusiano na Israel kwa tarifa yako Spain kavunja karuhusiwa achukue mafuta.

Aljazeera yuko against Iran kwanza Qatar inachapwa na Iran

Aisay ona jumba la Tela Aviv lilivyo angushwa na missile ya Iran

View: https://youtube.com/shorts/GI-633F8XbM?si=VjwcSWgXGI1zCizl
 
Aljazeera haijawahi kuwa against IRAN kamwe.
 
Hakuna habari ya propaganda wala uongo ambayo Aljazeera ilitoa dhidi ya Iran.
Kama ipo ilete hapa hiyo habari tuichambue.

Wakati Iran kakanusha hakupiga Oman na pia Pakistan wamempa evidence Saud Arabia ni Israel ndio kapiga

Hi pia habari ni uwongo habari ya kupiga Saud Arabia na Qatar

Check out this video, "Israel attacked Saudi arabia na Qatar oil facilities"
Israeli agents carrying out sabotage in Gulf states: Iran, US media | Pakistan TV Digital
Mimi nimekupa na dalili Aljazeera wanazua uwongo kuhusu Iran wanaficha anayo fanya USA na Israel wewe leta dalili zako wapi Aljazeera aliwahi kunpa support Iran.
 
Mkuu umesoma kwa uelewa kweli!??
Embu soma taarifa zote mbili kwa umakini.
Taarifa ya Aljazeera inasema Oman oil facility imeshambuliwa,Aljazeera wakaendelea kusema kuwa Iran anaendelea kushambulia miundombinu ya mafuta katika gulf states. Hii ni kweli japo kwa Oman haikuthibitika kama ni kweli.
Ndio maana kwa Oman Aljazeera hawajasema directly kuwa Iran imeshambulia.

Jifunze kuelewa taarifa mkuu.
 
Tatizo nyie mlioshia primary education we unasema Aljazeera hawakusema wakati ukienda kusoma utakuta point inasema Iran continues to target energy production and storage sites throughout the Gulf in response to ongoing US and Israeli attacks on the country.

Nini mana yake mkiambiwa kasomeni mnaenda imba nyimbo kanisani.
 
Tatizo nyie mlioshia primary education we unasema Aljazeera hawakusema wakati ukienda kusoma utakuta point inasema Iran continues to target energy production and storage sites throughout the Gulf in response to ongoing US and Israeli attacks on the country. Nini mana yake mkiambiwa kasomeni mnaenda imba nyimbo kanisani.

Hiyo ndio shida yako unapenda ku jump into conclusion.
Mie Kosugi hii ID yangu mpya.
Ndio maana mwisho nikakusisitiza jifunze kusoma habari.

Aljazeera imesema Oman oil refinery imelipuliwa,ila haijasema DIRECTLY aliyelipua ni Iran. Hii inamaanisha kuwa Aljazeera haikupata uhakika kama Iran ndio imehusika,laa sivyo ingesema Iran imelipua oil refinery ya Oman.

Mwishoni imesema Iran inaendelea kushambulia maeneo ya kimkakati ya kiuchumi kwenye nchi za gulf.HII NI KAULI JUMUISHI na huu ni ukweli IRAN inashambulia japo kwa OMAN hakuna uhakika.

Au umeanza kusoma habari juzi we jamaa!?
Pia mie sio mkristo ni muislam.
 
Mkuu umesoma kwa uelewa kweli!??
Embu soma taarifa zote mbili kwa umakini.
Taarifa ya Aljazeera inasema Oman oil facility imeshambuliwa,Aljazeera wakaendelea kusema kuwa Iran anaendelea kushambulia miundombinu ya mafuta katika gulf states. Hii ni kweli japo kwa Oman haikuthibitika kama ni kweli.
Ndio maana kwa Oman Aljazeera hawajasema directly kuwa Iran imeshambulia.

Jifunze kuelewa taarifa mkuu.

Hiyo ndio shida yako unapenda ku jump into conclusion.
Mie Kosugi hii ID yangu mpya.
Ndio maana mwisho nikakusisitiza jifunze kusoma habari.

Aljazeera imesema Oman oil refinery imelipuliwa,ila haijasema DIRECTLY aliyelipua ni Iran. Hii inamaanisha kuwa Aljazeera haikupata uhakika kama Iran ndio imehusika,laa sivyo ingesema Iran imelipua oil refinery ya Oman.

Mwishoni imesema Iran inaendelea kushambulia maeneo ya kimkakati ya kiuchumi kwenye nchi za gulf.HII NI KAULI JUMUISHI na huu ni ukweli IRAN inashambulia japo kwa OMAN hakuna uhakika.

Au umeanza kusoma habari juzi we jamaa!?
Pia mie sio mkristo ni muislam.
Ok Kosugi nimekuelewa lakini na wewe ungesoma vizuri utaelewa hakuna walio mkusudia zaidi ya Iran.

Nimeisha kupa point kule mimi nilidhani naongea na mkristo.

Na alijazeera hata wamewahoji wa Iran kwanini mnashambulia Oman kwenye tv channel yao.

View: https://youtu.be/F8Hkuhtr4co?si=3MsN_-YIrG8qi63B
 
Kwa mazingira yaliyokuwepo vidole lazima aoneshewe yeye.
Mkuu ukitizama sio tu Aljazeera vyombo takriban vyote vinaelekezea jicho kuwa Iran ndio muhusika. Sio kimakusudi laa hasha bali kwasababu ya mazingira yaliyokuwemo.
Hadi wao waje wakanushe ndio habari inakuja kurekebishwa pia.
 
Back
Top Bottom