Lepanto
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 1,162
- 500
kweli hapa kazi tu imebananisha wengi hadi wanaulizia mashamba!!!!Mkuu wengi tunataka kilimo. Tunaomba mtuwekee kabisa bei ya kukodi shamba kwa kila eka hapa hapa jamvini ili tuwasiliane na mhusika tukiwa tumepata taarifa ya kutosha na kujiandaa.