BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,207
- 1,264
Huko Ruvu wanalima mpunga (wakati wa masika), na baada ya kuvuna mpunga, wanalima nyanya, bamia, tikiti na mazao mengine ya muda mfupi.
Kaka ni pm na mimi ila mi nahitaji la kununua hata ekari mbili