cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,377
- 181,568
Na ninampendaga...
Yule ndiyo huwa kiboko ya Zari....Hafurukuti pale....
Wakati walipogombana Akothee alimwambia asikie tu hata amemtaja kwa bahati mbaya...Atamjua![]()





Akothee nae anachachukaga vibaya mnoo.
