Mashairi: Khaligraph hajatukana Wasanii wa Bongo Bali anawakumbusha tu kuwa wamepooza sana kwenye Game ya Rap wamekimbilia Kwenye Amapiano

Kwenye hili sakata aliyeingia kichwakichwa ni Mwijaku. Kaligraph aliwachokoza marapa ila Mwijaku kwa upumbavu wake akawahusisha wakenya wote jambo ambalo kidiplomasia ni baya sana. Sijajua pale UDSM huyu Mwijaku alipita kufanya nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom