Mashabiki wa Simba na Yanga ni wanafiki sana

Mashabiki wa Simba na Yanga ni wanafiki sana

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
262
Reaction score
446
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",

Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂

acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
 
Mnyonge mnyongeni Haki Yake Mpeni Kanjibai kajitoa Sana kwa Simba".Timu ilikua inatolea Hatua za awali Caf na kina UD Songo
 
Itoshe kusema tu huwa unawaona tu wahindi lakini habari zao huzijui.
 
I hate fuckin thing like football tz KUWA pumbaza wabongo. MTU anae changia mada za simba na YANGA. SIWEZI msikiliza KWENYE Uzi WA siasa namuona mnafiki tu
 
I hate fuckin thing like football tz KUWA pumbaza wabongo. MTU anae changia mada za simba na YANGA. SIWEZI msikiliza KWENYE Uzi WA siasa namuona mnafiki tu
Naam Nakuelewa ukitoa kombe la Dunia mpira Ni takataka
 
Back
Top Bottom