Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

Status
Not open for further replies.
Jamani njooni na data na source na source ya uhakika ili mtupunguzie presha.
 
...Ana Post Moja, Data azitoe wapi? Kuna watu wameingilia JF kufanya mizaha. Tuwasamehe. hawajui watendalo.
 
Wenje mpaka jana saa tatu alikuwa ameongoza kata ya Butimba na Igogo. Wananchi walikuwa wakishanglia sana mabarabarani lakini sina matokeo ya jumla.naweza angalau unaweza kupata picha.
 
Ilemele na Nyamagana Richard Leo wa tbc1 amesema msimamizi atatangaza matokeo saa nne.
 
Ka inzi kamenitumia matokeo haya

Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30

Nyegezi huko Nasikia Lau kakosa kura kabisa..matokeo zaidi yanazidi kuingia ila tutajua baadaye..Arusha huko kuna balaa zaidi...

Mambo juu ya mambo ila matokeo rasmi baadaye..ila kwenye ubunge kuna upinzani mkali zaidi..

Tarime huko ni noma zaidi

asante nymagana hii ndo aibu niliyoitarajia na kuisubiri saaaana. thanks jamani. there is no limit to my happiness!!!! my cup is full and running over.
 
hahahahaha huhuhu hu jama mabadiliko yanakuja kwa kiasi fulaaaaaaaani
 
Kwa taarifa nyepesi toka mwanza nyamagana- masha wa ccm yuko hoi bin taabani mbele ya mgombea wa chadema kwa mbali sana. Karibu sehemu zote za udiwani chadema washachukuwa ushindi tayari. Pia ilemela dialo yuko kwenye intesive care unit, chadema inaongoza kwa juu sana. Hivyo mwanza wamempeleka slaa ikulu.

Heshima kwako Kokolo,

Mkuu atimaye Mungu amesikia kilio cha WaTanzania.
 
Mabadiliko ndo hayoo yanakuja jamani walopita naomba mfanye kazi ili tuwavutie na wengine tuweze kuliondoa dudu hili naamini 2015 halikatizi
 
Safi sana Fisadi mkubwa huyo bora ameporomoka kama sanamu la sadamu hussein

Nimefurahi sana, yaani sasa tutaheshimiana hapa mjini, huyo masha na wenzake walishajimilikisha hii nchi wakasahau nguvu ya uma.


Mafisadiiiiiiiii! Piga chiniiiiiiiiii! rudia tena....Mafisadiiiiiiiii! Piga chiniiiiiiiiii!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom