Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

Status
Not open for further replies.

... Kweli wachana na nguvu ya Utu wa mtu...

.... Ufisadi is nothing when it comes to peoples power!!

Watanzania ni umoja ktika utu na ubinaadamu wetu...ndio nguzo ya umoja na ujenzi wa Taifa imara lenye heshima ndani na Nje ya Nchi!!

Ufisadi ni unyama , nguvu ya kutugawanya, kututenga...na kutukosesha kuheshimika kama Tz!

Tuliona mengi hata watoto nao jamani, hii Tanzania yetu mwelekeo ulikuwa unakwenda wapi? Vitukuu navyo vilianza kutawala .... ..... ..... hata wafanye vipi Gin ikishatoka kwenye chupa kuirudisha haiwezekani.
 
safi kabisa hayo ndo mapinduzi ya kweli pindua mafisadi wote

Dr phone!

Pindua mafisadi...

Then

Swaap na... Utu na Ubinaadamu = Taifa la Tanzania kama lilivyoasisiwa na Wazee wetu Julius Nyerere na karume siku ya uhuru wake!!

Ile Tanzania yenye Heshima , ubinaadamu na Haki

Sasa hakuna aibu kujiita Mimi ni Mtanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
... Kweli wachana na nguvu ya Utu wa mtu...

.... Ufisadi is nothing when it comes to peoples power!!

Watanzania ni umoja ktika utu na ubinaadamu wetu...ndio nguzo ya umoja na ujenzi wa Taifa imara lenye heshima ndani na Nje ya Nchi!!

Ufisadi ni unyama , nguvu ya kutugawanya, kututenga...na kutukosesha kuheshimika kama Tz!

Maneno mazito sana hayo. Bado ni mapema mno kuanza kushangilia lakini tuombe Mungu ili CCM wang'oke madarakani. Hawa jamaa walikuwa na dharau na kiburi cha hali ya juu kutudharau Watanzania kama vile hii si nchi yetu na hata kutamka CCM itatawala milele na hata mafisadi sana na vyombo vya dola na hata viongozi. Kama Kikwete ataanguka basi huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa Watanzania wote popote pale walipo wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu na siyo mafisadi kama akina Makamba, Rostam n.k. Mungu ibariki Tanzania.
 
Tuliona mengi hata watoto nao jamani, hii Tanzania yetu mwelekeo ulikuwa unakwenda wapi? Vitukuu navyo vilianza kutawala .... ..... ..... hata wafanye vipi Gin ikishatoka kwenye chupa kuirudisha haiwezekani.

Mkuu;

Haya maneno makubwa!

Tumenajifuza mengi kwenye huu uchaguzi... na tutasimulia na watoto wetu pia
....Wanetu..heshimuni ubinnadamu na Utu wa mtu... Na ufisadi si Utu wala sio ubinnadamu ..ila unyama ndani ya mtu!!

CCM hawezi kuamini macho yao...!

UTU ni chombo na zana inaweza hata kuzui bomu la nuklia lisipasuke!
Yes... Peoples POWER!!

Sasa CCM wao ni nani ....? Tukiunganisha nguvu ya umma wa UTU ...Kila kitu kinawezekana...

UTU ni UUNGU ndani ya Mtu...Ndio maana Utanzania ni utu yaani uungu ..ule wa Mungu Ibariki TZ ....!!
 
Ka inzi kamenitumia matokeo haya

Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30

Nyegezi huko Nasikia Lau kakosa kura kabisa..matokeo zaidi yanazidi kuingia ila tutajua baadaye..Arusha huko kuna balaa zaidi...

Mambo juu ya mambo ila matokeo rasmi baadaye..ila kwenye ubunge kuna upinzani mkali zaidi..

Tarime huko ni noma zaidi

Matokeo ya Capri - Point kwao Masha hapo karibu na Ikulu ndogo vipi?
 
BREAKING NEWS

Maswa magharibi, shinyanga mjini, musoma mjini , ubungo, kahama yaenda CHADEMA. More to follow....
 
Tangu majogoo nipo macho na sijui kwa nini sina usingizi wala uchovu hadi sasa.
 
Huko Ilemela jamani nakumbuka Anthony Diallo nilisoma na wadogozake(Anna na David Nyalla) Nyanza Primary walukuwa na malingo hao sasa sijui watajificha wapi hata watu wa ilemela ambako ndiko Star TV iko Chali kweli ??? I cant believe what is happening to my home town jamani khaaaa masha kaka yangu umeniangusha nawe????
 
Maneno mazito sana hayo. Bado ni mapema mno kuanza kushangilia lakini tuombe Mungu ili CCM wang'oke madarakani. Hawa jamaa walikuwa na dharau na kiburi cha hali ya juu kutudharau Watanzania kama vile hii si nchi yetu na hata kutamka CCM itatawala milele na hata mafisadi sana na vyombo vya dola na hata viongozi. Kama Kikwete ataanguka basi huu utakuwa ni ushindi mkubwa sana kwa Watanzania wote popote pale walipo wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu na siyo mafisadi kama akina Makamba, Rostam n.k. Mungu ibariki Tanzania.

Mfalme!

Nimelikubali anagalizo... ndio!!... hawa jamaa hawaaminiki ... Ni Mapema ...kanafasi kauchakachuaji bado kapo!

Lakini niwaambie tu CCM kuwa kuna ukweli mmoja mrahisi sana... Hata Jk Nyerere aliuona na akautumia na aliwekeza kila kitu hapo...

DHANA NZIMA YA UTU!!!!

Utu haupitwi na wakati...sio function....ya Time, Space and Matter!
...Utu haupitwi na wakati.. kwa hiyo usiuchezeee, usiusaliti... Ni wa kuheshimu na kuuenzi na ndio utumike kujengea siasa na ustawi wa jamii...Utanzania ni Utu!!

Tunaweza kushindwa..lakini.. tutanyanyuka...tutajifuta vumbi...tutajifunza cha kujifunza...tutajiandaa kwa 2015...Utu ni uleule...yaani falsafa PEOPLES POWER...Tutaitumia kujenga kila tofali la ustawi na maendeleo wa Taifa huru la Tanzania!
 
Huko Ilemela jamani nakumbuka Anthony Diallo nilisoma na wadogozake(Anna na David Nyalla) Nyanza Primary walukuwa na malingo hao sasa sijui watajificha wapi hata watu wa ilemela ambako ndiko Star TV iko Chali kweli ??? I cant believe what is happening to my home town jamani khaaaa masha kaka yangu umeniangusha nawe????

Ulimola mkuu? Kijana hawezi kazi ya taifa huyo alikuwa anaharibu sana pale mambo ya ndani. Usalama wa nchi unampa tapeli?

Nafikiri CCM inatakiwa wajifunze jambo na eneo lolotete watakalo kuwa wameshinda waache michezo Dunia inabadilika na watu wanabadilika. Wakumbuke walishaambiwa na Mwalimu!
 
Ulimola mkuu? Kijana hawezi kazi ya taifa huyo alikuwa anaharibu sana pale mambo ya ndani. Usalama wa nchi unampa tapeli?

Mola sana wang'wise tuleho yombaga!!!, hamo mbehi Lau Masha chali getegete???? hamo bhasukuma bhatubhga na mbehi hoyo!!!!!

Kijana tokea mwazo aliogopa kuja mwanza kwani kuja kwake tena kuomba kura ni shinikizo la IKULU na kusaidiwa na Ridhwani kura za maoni ndani ya CCM hapo nyamagana kumbukeni hilo

Tehe tehe teheeeeeeeeeeee mambo ni matamu, naona ndg zangu mna nena kwa lugha sasa. Sauti ya umma imeamua; tafadhali muwasiliane na ndg huko Bariadi Magharibi na Mashariki, inasemekana kuna mvutano usio wa kawaida; na wa ccm hawaafiki maamuzi wa umma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom