Elections 2010 Masha adondoshwa Jimbo la Nyamagana; Wenje (Chadema) ashinda

Status
Not open for further replies.

Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
1,768
2,767
Kwa taarifa nyepesi toka mwanza nyamagana- masha wa ccm yuko hoi bin taabani mbele ya mgombea wa chadema kwa mbali sana. Karibu sehemu zote za udiwani chadema washachukuwa ushindi tayari. Pia ilemela dialo yuko kwenye intesive care unit, chadema inaongoza kwa juu sana. Hivyo mwanza wamempeleka slaa ikulu.
 
Kwa taarifa nyepesi toka mwanza nyamagana- masha wa ccm yuko hoi bin taabani mbele ya mgombea wa chadema kwa mbali sana. Karibu sehemu zote za udiwani chadema washachukuwa ushindi tayari. Pia ilemela dialo yuko kwenye intesive care unit, chadema inaongoza kwa juu sana. Hivyo mwanza wamempeleka slaa ikulu.
Asante kwa taarifa lakini tupe namba ili tuweze kujua hali halisi kiasilimia. Asante sana wachaguzi wa Nyamagana na Ilemela
 
Shukrani kwa taarifa mkuu,tupo pamoja kuelekea safari ya mabadiliko
 
tunaomba tafadhali utupe updates za huko kwa number, hasa kwa hao wababe waliojisahau kuwa kuna kura.
Imekula kwao
 
Ngoja kwanza, mi nadhani naota. Naomba kuuliza hivi aliyeulizwa swali la vitambulisho vya uraia akiwa ndiye waziri mwenye dhamana halafu akajibu kuwa swala hili lilianza kabla hajazaliwa tena kwa jeuri si ndio huyo au mwingine?
 
Ahsante mkuuu kwa taarifa,tupe na namba kamili tuna rekodi
safiiiiiiiiiiiiii,ikulu hiyooooooo,na zenj ndio kabisaaaaaaaa
mapinduziiiiiii daimaaaaaa
 
Mi wala sinahaja ya data taarifa zozote juu ya ushindi wa Dr. Slaa PhD mimi ni fyraha tupu mwanakwetuuuu
 
Ruvuma:


URAIS
Kituo: Shule ya Msingi Peramiho "B" KATA YA MAPOSENI
CHADEMA 116
CCM 82
CUF 1
APPT 1

UBUNGE: CCM imemwacha CUF mbali sana. Jenista Mhagama anaongoza.

Kituo: Jengo la Maarifa ya Nyumbani: KATA YA MAPOSENI
URAIS:
CCM 147
CHADEMA 42
UBUNGE: KAMA HAPO JUU
 
Mwananchi mmoja pale Manzese Uzuri akionekana kwenye ITV amedai kuwa kuna gari Escudo nyekundu isiyotambilika shughuli maalumu ilionekana kwenye hicho kituo ikiwa na mifuniko lakini hao wananchi waliizuia kuingia kwenye kituo hicho ili kura zao zisichakachuliwe.
 
Ka inzi kamenitumia matokeo haya

Kituo cha hesawa

Wenje 126
Masha 78

Kituo cha BOT

Wenje 111
Masha 71

Kituo cha Kauma
Wenje 135
Masha 38

Kituo cha saa nane
Wenje 120
Masha 30

Nyegezi huko Nasikia Lau kakosa kura kabisa..matokeo zaidi yanazidi kuingia ila tutajua baadaye..Arusha huko kuna balaa zaidi...

Mambo juu ya mambo ila matokeo rasmi baadaye..ila kwenye ubunge kuna upinzani mkali zaidi..

Tarime huko ni noma zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom