Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

Mosha jambazi tu mke wake anaitwa Delina ulizia mitaa ya kbh sana utapata issue zake
 
Ebu kuwa mkweli kiongozi,ninavyofahamu mimi DELINA ni jina la kampuni ya Mosha na kifupisho cha majina ya yy Mosha na familia yake D,Davis,E Edger,L,Lisa,N,Nancy,A,Angel
Mosha jambazi tu mke wake anaitwa Delina ulizia mitaa ya kbh sana utapata issue zake
 
KATIKA kugombania uongozi YANGA,Davis mosha aliambiwa na mshindani mwenzie Manji-kwamba akae pembeni hawezi shindana na manji. Manji alidhiliki kusema kwamba yeye manji mpaka sasa anatumia hela ya babu yake,hela ya baba yake na hela yake bado hajaigusa-ilibidi Davis akae pembeni
 
495296878.jpg
Mmmmnh !!!???
 
ok, basi sawa!

kila mtu aishi maisha yake!
 
Mwacheni Le Mutuuuuz. akiacha UKULA KULALA pale SEAVIEW tabia ya kujikomba kwa wenye pesa itaisha.
 
Duuu na mimi nitapiga picha kanissan march kangu nikaweke humu wanajamvi wakafagilie
 
Back
Top Bottom