ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,702
- 3,553
Huyu jamaa pia aliwahi kuwa na Lamborghini! . . Na kuhusu utajiri wake ,ni jambazi!
Tunaomba mapicha umeshika maufunguo kama jamaa hapo! Manake hii yako kama iko show room vile!
Wabeba mabox mbona tunazisukuma kila siku ndinga kama hizo....acheni ushamba nyie.
Cheki kitu ya Quattroporte 2014 hiyo
![]()
Bofya hapa kwa mapicha na info zaidi.
wewe ndio mjinga sio pointComment ya kijinga kabisa.. basi tungekua tunavaa sanda kila sehemu tuzikwe nazo
Fikra za kichawi chawi
Picha za show room hazina mashiko...atuwekee picha halisiTunaomba mapicha umeshika maufunguo kama jamaa hapo! Manake hii yako kama iko show room vile!
Wabeba mabox mbona tunazisukuma kila siku ndinga kama hizo....acheni ushamba nyie.
Cheki kitu ya Quattroporte 2014 hiyo
![]()
Bofya hapa kwa mapicha na info zaidi.
Ha ha ha !
Si ajabu CHADEMA huyo!!
Nasikia hali ya Mandela imeanza kutengemaa!M/mungu ampe nguvu mzee wetu huyo.
what does he do for a living...just asking
Na akifa wamzikie humohumo asixhimbiwe kaburi my take.
Na akifa wamzikie humohumo asixhimbiwe kaburi my take.
Mkuu tatizo wabongo wanapenda sana kuwa managers, administrators, na ceo's wa maisha ya watu, wanapenda wajue unafanya nini na utafanya nini kesho, usipowapa nafasi ya kuwa ndani ya maisha yako, tegemea kupata majina kama haya..hahahaha hata mimi huku mtaani wananiita drug dealer kwasababu naendesha gari kali na wao hawajui nafanya nini.