Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

Maserati Grand turismo ya Davis Mosha

Hahahah kwani unadhani unajianika? Watu wanakutupia tu mzee, hela hazijifichi. We sema ni kama mimi tu sio suala la hutaki 'kujianika'

Kama picha ndiyo uthibitisho, kweli unadhani siwezi kupiga picha na Maserati? Unaishi wapi wewe - bongo?

Basi kwa taarifa yako kupiga picha na Maserati wala siyo ishu. Ni kiasi cha kwenda kwa dealer na kusimama mbele ya Maserati na kufotolewa.

Na kama hiyo haitoshi, mtu unaweza kabisa kwenda kwa dealer na kuomba ku-test drive ndinga yoyote ile na unaweza ukapozi na funguo kabisa.

Kwa hiyo picha wala siyo ithibati hata kidogo. Licha ya hivyo, sisi wengine hatuna picha zetu kwenye hii mitandao ya kijamii. Huwezi kunikuta kokote kule kuanzia fesbuk hadi tumblr au sijui ushuzi gani instagram.
 
Hivi unadhani huu mjadala hapa ni kwasababu ya hizo picha? Sio hivyo mkuu, hii mada hata ingekuja bila picha bado ingekuwa kubwa na ingejadiliwa tu. Jamaa ana hela hilo halina ubishi sasa anapataje hilo ni suala jingine.
Na wewe kuhusu kutokuwa kwenye mitandao ya kijamii sasa ndio unajisifu? Mimi nipo kote huko na nikinunua hata ka'balloon ka mil 5 nakatupia huko ili wachawi muone wivu.
 
Kwani nani hana hela?
 
Kwani nani hana hela?

mkuu una maanisha na wewe huko level ya Davis Mosha, maana tukiachana na hizo maserati sijui lamborgin kampuni ya Davis Delina Group ina own scania almost 80 na kila mtu bongo anamjua toka enzi yupo Yanga makamu mwenyekiti,

Na source ya income yake inaeleweka ni Contract yake na Kobil Africa kwenye Fuel, Energy and lubricants distribution..

sasa nyani ngabu raisi wa wabeba ma box, unamiliki kampuni ya mabox au?
 
Siyo lazima nimiliki kampuni ya wabeba mabox. Wazazi wangu unawajua wewe? Unajua shughuli zao?
 
Unajua tofauti kati ya kuwa 'rich' na kuwa 'wealthy'? Kama unajua basi basi utakuwa umeelewa ninachosema.

Congrats kwa hilo, but sisi tulijua Davis Mosha ndio anakimbiza bongo kwa Big Boy Toys" kumbe mpo wengi..

Plus his son amefanyiwa majaribio Chelsea fc this year, plus his wife Drives Audi Q-7 with a plate no DELINA

Na bila kusahau ni Self made wote yeye na mkewe wanatoka Moshi vijijini sio Wazazi wala nini..

So we give him credit kwa hard work yake na anatu inspire hata kina sisi tusiotoka Wealth family as you said kwamba tukikomaa nasi tuta push Big boy toys za kila aina
 
Congrats kwa hilo, but sisi tulijua Davis Mosha ndio anakimbiza bongo kwa Big Boy Toys" kumbe mpo wengi..

Tatizo mmeshakariri kuwa kila anayekimbiza basi lazima awe flamboyant na amiliki big ticket items.

Ushawahi kumwona David Koch kapozi mbele ya Maserati? Au Sheldon Adelson kapozi mbele ya Lambo?
 
Ila kaka ngabu mi naamini ni hobbie, like Davis loves Rally and football that's y alipopata mafanikio akaamua kujipa raha kwenye toys,

Kuna wengine wakifanikiwa hobie yao wanawake, atatembea na kila mwanamke, wengine hobbie ipo kwenye investment tu,

So kwa mtu kama davis tusichangae kupenda hizo toys maana ndio hobbie yake
 
Jamani mimi pia ninamiliki vyumba vi3 mbagala, nimenenepa kweli kwa mafanikio hayo!
 
Hawa sasa ndio drugs dealers,sio idd azzan!Utajiri wake umeibuka ghafla baada ya kikwete kuwa rais

Kwa hiyo inawezekana ikawa kweli zile habari za Ridhiwani kuwa anashirikiana na baadhi ya vijana kuvusha yale madudu yanayoangamiza watu na kufanya vijana wa Tanzania kutiwa vitanzi nchi za watu. Kama ni hivi tumekwisha.
 
Legra mopao aka super mogul aka mtanzania mwenye utajiri wa hajabu-source le mutuz big show
 
Back
Top Bottom