Brazamen flani mjanja mjanja HB, tapeliKwanini mkuu kwani Ndumi ni tozi?
Unatafuta bifu la milele na Passo's owners hapa mjini daslamu.....Lodilofa ndio noma ni kile kipasso chake!
Yule aliyetengeneza Fruit na Juice ya ajabu ndo alikuwa msela kwa sana....mpaka ndumilakuwili aliota VUNDEZI la maana......NDUMILAKUWILI hajawahi kuwa msela
...ya saa sita usiku yanakuwaje?Kipepe alifanya party bush ma brathemen kutoka town walidata msosi unaseviwa na wadada machuchu nje na yote saa sita mchana
Mtu anaye kwapua vitu,kukaba na kupiga ataitwa bishoo kweli?Jaribu kuijenga taswira yake upya.Brazamen flani mjanja mjanja HB, tapeli
Hawa ni Ndumilakuwili (kulia) na Sokomoko.