Masanja mkandamizaji ni freemanson? Hebu angalia hii... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masanja mkandamizaji ni freemanson? Hebu angalia hii...

Discussion in 'Jamii Photos' started by DON KILLUMINATI, May 11, 2011.

 1. DON KILLUMINATI

  DON KILLUMINATI Senior Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ANGALIA VIDOLE VYA HAO WATU WANAOSHANGILIA KWENYE HII PICHA.

  [​IMG]


  UPDATE:

  Wadau wengi wanamtetea Masanja kuwa hawezi kuwa Masonic Worshiper, wengi wanadai hana mshiko kama freemansons wengine...
  Wengine hawajui ninachozungumzia ni nini, ninazungumzia alama za vidole viwili vinavyoonekana,

  alama hii inaitwa HORN OF DEVIL, au pembe za shetani, ni moja kati ya alama zinazotumiwa na masons.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa sijui, lakini hiyo alama ya vidole ni ya Freemasson, wengine waweza kuchangia katika hilo mi nakomea hapa
   
 3. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnh sidhani ka ye ni freemasson unajua watu huwa wanaiga tu style za kuweka vidole pasipo kujua maaana zake
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Inawezekana anaiga mkumbo tu.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,294
  Likes Received: 22,073
  Trophy Points: 280
  Masonic wa wapi? Ye kajipatia tu hiyo picha alaifotoshopu kidogo na kubandika kwenye blog yake
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama ni freemason, atakuwa hajui maana ya hizo alama!
   
 7. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani hajui alitendalo.Hiyo alama bado wengi hawajui maana yake.
   
 8. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  conspiracy theory?? mtaangaika sana! je hamzijui amri? usiue, usiibe, usizini, usitamani, usimshuhudie jirani yako uongo? wasiozifuata ndo freemanson, tena wako wengi wengine juzi juzi tu wamechoma maduka, makanisa na mabaa huko nchi jirani
   
 9. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mambo ya mastaa wa kibongo wanaiga mambo wasiyoyajua
   
 10. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Freemason ni matajiri, hawaishi lifestyle ya masanja, ameiga tu.
   
 11. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  ninashaka uelewa,elimu na mengine kama hayo
   
 12. mfukunyunzi

  mfukunyunzi Senior Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hajui alitendalo :majani7:
   
 13. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  nchi jirani!!!!!!! kweli jf kuna vituko
   
 14. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kwan masanja hawez kuwa freemason? naona wengi mnasema ameiga tu kuweka hyo picha...
  mi sijui ila hzo alama ni za freemasonry
   
 15. M

  Maga JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hajui maana ya hiyo alama, msamehe bure
   
 16. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,490
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  aende shule
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135

  huyu jamaaa ukiwa unaangalia kipindi chao siku hizi huwa anaishara tata sana, mimi niliwahi kuhisi ni mtata sana huyo, halafu hata wewe hiyo avatar yako mbona inautata inamaana umekosa avatar zote duniani umeiona hiyo tu

  jina lenyewe mamaaa weee mhhhh mmmmhhhhhhhhhhhh au unafanya marketing?
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  afu ana taka kuwa mchungaji,....
   
 19. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwenye spider man jamaa anafanya ishara hiyo na web zinatoka. watoto wetu nao wanamuiga sterling wao (spiderman). nao ni free mansons? hawa hawana habari na free manson. jamaa jaipaste tu hiyo picha na kuiweka kwenye blog yake. akijulishwa maana yake usishangae akaitoa mara moja
   
 20. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #20
  Sep 17, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii ishu ni kweli kabisa, ishakuwa proved...
   
Loading...