'Masalia' wa CHADEMA wako hoi kisiasa!!

Ni ujinga wa hali ya juu kuwaza mambo ya ushikina kwenye karne ya sayansi na teknologia!!
Umeishambiwa hatabaki hata panya wa nyumbani kwenu wewe unasema ushirikina usiongelewe! Chezea ushirikina wewe
 
Mara tu baada ya mada ya usaliti ndani ya CHADEMA kuandikwa humu mijadala mikali kuhusiana na mada hiyo ilizuka huku kukiibuka makundi makubwa mawili yaani MASALIA(Pro-Zitto) na CHADEMA(Anti-Zitto).

Lakini kwa ufuatialiji wangu inaonekana Kundi la Masalia likiwa kwenye wakati mgumu zaidi kisiasa, kwa sababu ya;

1/KUSALITIWA(Saanane, Mamuya etc)

2/KUANIKWA HADHARANI(Mipango, Wahusika etc)

3/KUDHARAULIKA(Ushirikina, kuhongwa, kutumiwa nk)

*Ni kwa vipi kundi hili la 'Masalia' linaweza kusimama upya kisiasa ili kuweza kushinda mapambano haya(Kurudisha imani kwa watu)?

katika vita ya kupigania ukombozi wanaolisaliti kundi la makamanda huwa wanafungwa mikono na miguu kwa kamba kisha wanaume wanalenga shabaha!
:target:
 
Mkuu hao jamaa wapo hoi sana, kule fcbk naskia kuna mmoja wa masalia kaiblock account yake kwa aibu, pia yule masalia mwenye akili ndogo kuliko wote bw. Mtela Mwampamba naye amewa-unfrend rafiki zake wengi kwenye fb account yake.
Hapa yani wapo hoi maana kamanda Ben anazo hadi audio alizowarekodi kipindi wanapanga mipango yao michafu.

Kwngu mimi Ben na Mamuya wote ni wasaliti kwamfano Mamuya kashirikiana na Masalia hadi kuharibu madiwani wa chadema arusha kwahiyo wote wavuliwe gwanda kwa sababu wote ni wasaliti
 
Sis tuna Mungu wao na matungur pamoja na uyo jamaa wao wa mwisho reli.,kama yey maaruf kwel atoke akazishe chama chake hahahahaaaaaaaa
huu sio utani mzuri lakini unanikumbusha move ya siasa za Kenye jinsi Msalia Mudavadi alivyoiacha ODM kwenye mataa lakini nia yake ikaishia mikononi mwa mafirauni na sasa yuko kwenye kitanzi cha kisiasa!
 
nasikia mtela mwampamba amerudi katika kazi yake ya modeling na kukata mauno kama alivyokua anafanya wakati akiwa chuo, kabla ya kuingia kwy siasa.

Mbozi kwenyewe wananchi hawataki hata kumwona mana wanamtuhumu kuwa aliuza jimbo CCM. Kazi anayo.
 
Mkuu soma comments zangu vizuri,CDM ina kanuni,taratibu na miongozo kwa ajili ya mafanikio na migogoro ya Chama. Nadhani jambo la muhimu kwa wanachama ni kuelewa wajibu wao na viongozi kutimiza matamanio ya wanachama,that is all,[/QU
Najua kuwa Chadema inakanuni, taratibu hadi katiba pia lakini kiongozi anaposhutumiwa kuvunja katiba na kufanya ubaguzi ndani ya chama hauoni kama kuna haja ya kufanya Uchunguzi kama chama na kubaini ukweli wa mambo? Tulimwandikia barua Raisi ili alete tume ili ichunguze shutuma zetu kwa jeshi la polisi kwa nini isitumie idea hiyo kuchungunza kiti cha Katibu Mkuu kubagua wanachama na kuwapa watu Mishahara inayovunja katiba ya chama?

Wenye allegations za namna iwayo yote kuhusu katibu mkuu Dr. Slaa mbona milango ipo wazi ? Watumie taratibu halali kufikisha malalamiko na siyo kutumia mitandao kutukana viongozi,
 
mnamzingizia mungu wa watu yeye amesema tupendane nyie mnashabikia ubaguzi ana uvunjwaji wa katiba chamani?
hachukiw m2 ndo maana bado yupo chadema,hata Mungu aliweka mamlaka akamuru wa2 wazitii mamlaka,yey kajiona maaruf,bora zaid ya wengine,hatak kutii sheria na taratibu za chama matokeo yake analeta mpasuko ndan ya chama hana tofaut na ibilis.,2namuombea na kumshaur afate taratibu za chama akishindwa 2namtupa moton,hata Mungu aliweka jehanam kwa wale wasio watiif..kabla ha2jamtupa aanze kuondoka mwenyewe
 
Kafie mbali na usaliti wako, hiyo njaa yenu itawamaliza. Hao wanaowatuma wana utajiri kiasi gani wanaotumia kuwanunua unajua wamepataje?
Ila imefika wakati nae Dr Slaa aachie kiti kupisha uchunguzi maana yawezekana shutuma walizotoa masalia ni za ukweli. Dr kama chadema tumekuwa tunatoa matamko mbalimbali pale shutuma dhidi ya viongozi wa CCM zinapotokea na kuwataka wajiuzuru ili kulinda heshima ya Dr slaa inabidi akae pembeni na uchunguzi ufanyike kwenye shutuma hizi:
Dr Slaa ni mbaguzi uchunguzi ufanyike ili kujua kama ni kweli au la. Maana kiongozi mzuri ni yule anayeunganisha watu wanaompinga na wale wasiompinga na daima kuna usemi usemao "I IS KNOWN BY NONE I" Wanaomkubali DR tunaweza sema Dr slaa yupo safi lakini wanaompinga wanahoja pia wasikilizwe.
Shutuma ya UFISADI wa karatu na viwanja vya mabwepande achunguzwe maana mficha maradhi kifo humuumbua hizi ni hoja zitakazotumiwa na CCM 2015 tuchunguze sasa ili kujua ukweli wa mambo.
Pia shutuma ya kuvunja katiba na kumpa bwana Heche TSH LAKI SABA kinyume na scale ya chama. Hili nalo achunguzwe maana kama anavunja katiba ya chama akiwa Raisi itakuaje?
Wito wangu Dr Slaa aachie kiti ili uchunguzi ufanyike dhidi yake au ajiuzuru.Maana daima ukweli umueka mtu awe huru kama ukweli ukipatikana Dr slaa, Masalia etc watakuwa huru na hawata shutumiana tena.
Angalizo si kila anayempinga Slaa ni masalia maana "Dr Slaa si Chadema" hivyo Dr slaa nae ni mtu anafanya makosa kama wayafanyayo akina Zitto, Lowasa etc
 
Kwenye ile list ya Ben saanane ni kama hii ID pia ipo vile? Anyway, hiyo sio muhimu, lakini huu ushauri ulioutoa si ndio lengo la hilo kundi linaloitwa Masalia? of course ndio pia lengo la ccm, target yote ni Dr. Slaa kuachia madaraka, so akiachia ni mafanikio yenu/yao.
 
Najua neno masalia ndo msamiati mliobaki nao ili kumlinda Dr slaa kumbukeni shutuma ya ubaguzi na kuvunjaji wa katiba hauitaji kuvumilika kwa kiongozi mkubwa kama Dr Slaa mnogopa nini anakaa pembeni kwa muda uchunguzi ufanyike hana kosa anaendelea na ukatibu wake.
 
Kafie mbali na usaliti wako, hiyo njaa yenu itawamaliza. Hao wanaowatuma wana utajiri kiasi gani wanaotumia kuwanunua unajua wamepataje?

Haya ndo majibu ya mnaojiita Makamanda. vipi nimemsaliti nani? kwani wewe umetumwa na nani na wanautajiri gani na wamepataje?
 
Ni kweli hii menu ya hawa jamaa sasa inatukinaisha baadhi yetu lakini tunalazimika kuendelea kujadili na kulisemea kwa vile tu ya kusukumwa na uzalendo wa kupenda kuiona Tanzania mpya yenye neema kwa wote kwa upande mmoja, na chuki dhidi ya ghiliba, unafiki na maovu kwa upande.

Mh. John Mnyika amekwisha toa taarifa ya awali ya CHADEMA kuanzisha mchakato wa kushughulikia hawa wahuni. So tunawapa support na kuvumilia ili watimize matakwa ya kisheria na kiutaratibu ndani ya chama. Coz wengine tulishahukumu hawa wahalifu wafukuziliwe mbali haraka, but wisdom reigns.
 
Ndio nilijua Tu utanita masalia kwa kuwa ndio msamiati mliobakiwa nao. Lakini hizi shutuma zimeelekezwa kwa Dr Slaa inabidi kama kweli hajatenda ukweli utajulikana nyie mnaogopa nini? Tumekuwa mabigwa wa kutoa matamko pale viongozi wa ccm wanavyotuhumiwa kwa nini tusitumie utaratibu huo huo kwa Dr slaa maana nae anatuhumiwa sasa?
Chademamember but kuna shutuma nyingine unatkiwa uziangalie kwa jicho la pili kama zina ukweli wowote kama sio kuzushwa kwa minajiri ya kumchafua mtu....unaposema mradi ulikuwa na bajeti ya mil 200 then dr kapeleka bajeti ya mil 160 then hapo hapo kakwapua mil 400 inakuingia ikilin kweli?
 
Last edited by a moderator:
hachukiw m2 ndo maana bado yupo chadema,hata Mungu aliweka mamlaka akamuru wa2 wazitii mamlaka,yey kajiona maaruf,bora zaid ya wengine,hatak kutii sheria na taratibu za chama matokeo yake analeta mpasuko ndan ya chama hana tofaut na ibilis.,2namuombea na kumshaur afate taratibu za chama akishindwa 2namtupa moton,hata Mungu aliweka jehanam kwa wale wasio watiif..kabla ha2jamtupa aanze kuondoka mwenyewe

Lakini nae Dr Slaa wa ukweeli anashutuma ya kuvunja katiba na kufanya ubaguzi ndani ya chama hauoni nae anaweza kuwa ibilisi kwenye chama?
 
Chademamember but kuna shutuma nyingine unatkiwa uziangalie kwa jicho la pili kama zina ukweli wowote kama sio kuzushwa kwa minajiri ya kumchafua mtu....unaposema mradi ulikuwa na bajeti ya mil 200 then dr kapeleka bajeti ya mil 160 then hapo hapo kakwapua mil 400 inakuingia ikilin kweli?

Ndo maana nasema akae pembeni ili uchunguzi ufanyike hana kosa anarudi kwa kiti.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom