Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,107
- 9,273
Tulilijua hili mapema..tuwaachie wananchi waamue wenyewe..
ila naona wananchi wameshachoka
Najua wengi mmeshasahau na labda hata wengine hawajui kiliwahi kutokea. Baada ya jengo la Chang'ombe Village kuporomoka na kuua kulifuatia soul searching na kuanza kubomolewa kwa majengo mbalimbali mengine yakidaiwa yalikuwa yanajengwa kinyume cha sheria na bila ya vibali husika. Mojawapo ni jengo lililokuwa pale Masaki (kona ya Mwaya na Toure)..
Sasa habari ambazo zimeanza kutiririka siku hizi chache ni kuwa wamiliki wa jengo hilo wameshinda kesi?? na Manispaa ya Kinondoni itajikuta inawalipa fidia. More info to come.. (i'm going to sleep!)
Uzuri wa serikali yetu inajiandaa kushindwa kesi hata kabla ya kesi yenyewe kunanza. Ndio maana katika kesi mia inashinda moja, 99 inapoteza. Huu ni mradi mwingine uliobuniwa kuzitafuna kodi za wananchi.
Tuwafanyejee wakubwaa hawa wanaojiona wao ndo SERIKALI!!!!hawa wakubwa wote bwegez tuuu. wanajifikiria wenyewe tu!!!
Magazeti yetu yanaamini hayauzi bila richmond/lowassa/rostam.Yule jamaa angeendelea kuwa PM kwa miaka miwili zaidi sijui tungekuwa wapi?