Nimeangalia taarifa ya habari ITV. Kuna vijana wa kimasai wapatao nane walikua machungani Mara wakavamiwa na Sumba .wakajeruhiwa sana.ajabu nikaona msemaji mmoja ambae ni mzungu akasema vijana hao wameshambuliwa kweli na simba .lakini wakachunguza hali ya simba wakakuta hakujeruhiwa kabisa.shameless hana aibu simba ana dhamani kuliko mwanadamu. Na akaongea pia mwafrika mwingine akasema vijana wafanye kazi waache mawindo nonsense speech.very shame.