Masai wanne wanusurika kifo baada ya kushambuliwa na simba

Masai wanne wanusurika kifo baada ya kushambuliwa na simba

mimi nimecheza mechi ya kikapu na wenyeji wangu wa bagamoyo asee timu nzima ya wazaramo ilikuwa ina mabusha hayo nilikuwa nachanganya na mpira wa kikapu kila saa nayadundisha chini.
Badala ya kusema watu wameshambuliwa na simba anasema wamasai ni kama mtu aseme niko ndani ya daladala ila tuko abiria wawili na wamasai wanne(this is nonsense).
 
Ni habari nimeiona hapo itv

Sijui walikua watafuta nini huko maporini kwenye simba wakali

Hivi ile sheria yao ili uoe lazima uue simba bado ipo??
HUJUI KWAMBA WAMASAI WAISHI NGORONGORO HADI LOLIONDO AMBAPO NI MBUGANI
 
Back
Top Bottom