Hahahaaaa! Jamaa kama anasahihisha kumbe anatafuta kusahihishwa..![]()
Hilo neno ulilomaliza nalo sio zuri kulitumia katika nchi ya wastaarabu na jamii iliyoleleka kwenye mstari wa maadili kama Tanzania.Hizo picha alizoziweka ni Morogoro road labda kama una makengeza.
Dodoma hawakai wapo Bandari Salama dailyNasema hivi, wahamie DODOMA tu. Leo nimekaa kwenye foleni Mwenge, lisaa na nusu
Awamu hii ni uhuni tu kwenda mbeleDodoma hawana nyumba za kuishi wamevamia tu instution za watu, kama hostel za vyuo kugeuzwa ofisi, makazi ya lectures kuchukuliwa, maskini waliokuwa wanakaa quoter za maghorofani kutimuliwa kama mbwa, watu kunyanganywa viwanja kisa kupisha makazi mapya..... etc
Siyo kwa muda wote huo kuwasimamisha Maboss wake barabarani. Hivi kupiga kura foleni za masaa tukampa ulaje tukapoteza muda wetu na leo basi watu wakajitafutie anawapotezea muda tena? Not fair, Iwe hata Nusu Saa kumpisha angalau. Asidharau walio mpandisha.Rais ni taasisi Kama hamjui. Rais sio mtu wa kawaida Kama wewe ni lazima alindwe kwa kila namna. Kwanza ni amirijeshi. Kiongozi wa nchi. Serikali n.k ndio alama ya heshma kwa taifa. Huwezi kupishana nae kirahisi Kama vile mko Sinza
Huyo aliyetafsiri kasomea ujinga kama wewe.
Mimi nimesomea ujinga ila wewe umesomea kutokuwa mstaarabu kwa mitusi yako. Taka usitake neno sahihi ni THALATHINI
Unajisifia ujinga. Safi sana, unaonesha ni Mtanzania halisi.
Wacha matusi halafu tulia uzae.....
AlhamduliLlah, niliojaaliwa si haba.
Kitem fazem.......