Masaa 3 Kumsubiri bwana mkubwa apite

Masaa 3 Kumsubiri bwana mkubwa apite

Ni gharama mkuu.
Labda hapa wachumi wetu wangetusaidia ...hasara inayopatikana kwa kusimamisha uchumi wa watumia barabara kwa masaa matatu au kwenda 'sheli' kujaza mafuta kwenye helkopta ili 'mleta foleni' akawahi, kipi ni gharama zaidi!?

cc: Profesa Bwana yule
Ukipiga hesabu za uzalishaji wa masaa ya maelfu ya watu wanaosimamishwa ni wazi yatapita gharama za kumsafirisha mtu mmoja kwa ndege/ helikopta.
 
Ccm mbere kwa mbere. Mlimpenda,mlimwamini,mlimpitisha,mlimpigia vigelegele na vifijo. Kubalini matokeo ya hayo yote.

Anko magu ukirudi ongeza masaa na kodi shilikilia hapo hapo ilipwe
Kaka siyo mbere kwa mbere ni mbele kwa mbele
 
Watapataje 'sifa na utukufu'? Lazima wawagandishe ili muweze kujua ukuu wao, na mamlaka waliyonayo juu yenu!
Asante sana kwa wazo hilo.

Hili wazo hata mimi nimelipata pia. kwa maana nikichunguza sana sioni sababu nyingine yoyote ya kutumia barabara.

Ila iliniwia vigumu sana kulikubali wazo hili. Inabidi mtu awe mkatili sana na anapenda sana utukufu kufanya hivi.

Uchumi wa taifa unadidimia kwa vitu kama hivi, halafu tunajifanya hatuelewi kwa nini bado tuko masikini.
 
Mkuu naona ulikuwa unamuelekeza FF na wewe ukazama chaka! ...


Nadhani yeye na weye ndio mko chakani. Mimi asili yangu ni Mvita. Hakuna neno thelathini wala themanini katika Kiswahili sanifu. Ni thalathini na thamanini na kisha kuna thumuni. Ila kwa vile yeye kwao ni Msoga namsamehe tu kama yule asemaye SELASINI.
 
Nadhani yeye na weye ndio mko chakani. Mimi asili yangu ni Mvita. Hakuna neno thelathini wala themanini katika Kiswahili sanifu. Ni thalathini na thamanini na kisha kuna thumuni. Ila kwa vile yeye kwao ni Msoga namsamehe tu kama yule asemaye SELASINI.
Mkuu mimi ni mtazamaji tuu! Nasubiria aje akusahihishe tena

Ila msamehe bure!
 
= thelathini

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
20170306_224308.png
 
kwanini asisafiri usiku anasafiri muda wa kazi
 
Back
Top Bottom