The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,115
- 102,705
Aisee!
Tangu marekani itoe taarifa yao yameshakatika masaa zaidi ya 24 bila kusikia kikohozi wala chafya ya kiongozi yeyote wa kiserikali akiongelea jambo lolote lile. Kwa kifupi mpaka muda huu hakuna aliyeonekana akijaribu hata ile kujifanya anajikuna.
Nchi ni kama imepigwa ganzi, ndugu watanzania wenzetu wamekufa huko Moshi kwenye ajali ya Mafuta hatujasikia kauli ya viongozi hadi hivi sasa zaidi ya Kamanda Hamduni na mkuu wa Wilaya Moshi.
Je, tuamini serikali imejichimbia ikifanya rehersal ya kuja na majibu? Au Our Numero Uno amestushwa na taarifa hizo kufahamika na dunia au alikua hazifahamu na sasa yupo kupata briefing!!
Vipi viongozi ambao hata hawasikiki wakiendelea kuyaongelea maeneo yao kama tulivyozoeshwa?

Mi nashangaa mkuu watu kupiga kelele na kufurahi. Hivi muhim mtu kuwa na mzigo au kwenda marekani? Ukishakuwa na mzigo bongo marekani toshaHivi ukizuiwa kuingia Marekani ndio unakosa uhai unakufa? Au huyo aliezuiwa aliwaambia kuwa anataka kwenda huko Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kiwanda cha paracetamol kipo marekani tuHata kiwanda cha paracetamol huna. Ona aibu.
USA akisema ana ushahidi wa kutosha ujue hatari. Nadhani Serikali walikuwa relax hakuna uchunguzi wa nje kumbe jamaa kimya kimya. Na kawaida USA hapo ubalozini majasusi kibao na utakuta hata huku watumishi wa serikali kuna informers. Utajibu nini lazima ukae kimyaa labda umalize chinichini kuwa tufanyeje? solution watatoa USA wenyewe.Wamarekani wamesema wanazo taarifa za kutosha kuwa BASHITE ndio kiongozi wa watekaji na wapotezaji watu sasa unategeme nani aongee hapo
Ulichosema ni kweli kabisa, hili tamko ni kama kikohozi cha kuweka sawaa koromeo kabla ya kuanza kuongeaNaomba Niipongeze serikali kwa kimya hiki.. Hili sio jambo la kukurupuka tena... Hata kidogo... Kuna mlolongo wa matukio yatafuata baada ya hili... Hivyo linahitaji muda wa kutosha weledi na hekima kwenye kulitolea tamko
Jr![]()
Mdau aliyekuambia issue hii ni kubwa kwako kuijadili hakukosea. Uko chini sana kwenye uelewa so shut up!Kaa hivyo hivyo endelea kuwasujudia hao Marekani, Kwani wao wamekua MUNGU? hakuna ulazima wowote wa kwenda kwao, Kwani Wamarekani hawafi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna uwezo wa kuniambia shut up kima weweMdau aliyekuambia issue hii ni kubwa kwako kuijadili hakukosea. Uko chini sana kwenye uelewa so shut up!
Serikali inawajibu wa kulinda uhai na haki ya raia wake, kama watu wanatekwa, kupotea na kuuwawa na mwenye wajibu wa kuwalinda amekaa kimya inadhani bado haina tuhuma?Kwani serikali imetuhumiwa Nini? Ingekuwa NI wewe ungejibu Nini?
Mshana hofu yangu hawa US tukiwaletea ujuaji wanaweza kutuletea undava tuka sambaratishana wenyewe.Naomba Niipongeze serikali kwa kimya hiki.. Hili sio jambo la kukurupuka tena... Hata kidogo... Kuna mlolongo wa matukio yatafuata baada ya hili... Hivyo linahitaji muda wa kutosha weledi na hekima kwenye kulitolea tamko
Jr![]()
Hujaona statement kutoka Ikulu? Du ukiwa pinga pinga ni lazima uazime ubongo wa nyumbu walai..Tangu marekani itoe taarifa yao yameshakatika masaa zaidi ya 24 bila kusikia kikohozi wala chafya ya kiongozi yeyote wa kiserikali akiongelea jambo lolote lile. Kwa kifupi mpaka muda huu hakuna aliyeonekana akijaribu hata ile kujifanya anajikuna.
Nchi ni kama imepigwa ganzi, ndugu watanzania wenzetu wamekufa huko Moshi kwenye ajali ya Mafuta hatujasikia kauli ya viongozi hadi hivi sasa zaidi ya Kamanda Hamduni na mkuu wa Wilaya Moshi.
Je, tuamini serikali imejichimbia ikifanya rehersal ya kuja na majibu? Au Our Numero Uno amestushwa na taarifa hizo kufahamika na dunia au alikua hazifahamu na sasa yupo kupata briefing!!
Vipi viongozi ambao hata hawasikiki wakiendelea kuyaongelea maeneo yao kama tulivyozoeshwa?
Ikifuatiwa na sanctions ndio utaelewa..... noti inaanzia bilioni moja.Hivi ukizuiwa kuingia Marekani ndio unakosa uhai unakufa? Au huyo aliezuiwa aliwaambia kuwa anataka kwenda huko Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua hili bandiko limewekwa muda gani? Kamuulize MsigwaHujaona statement kutoka Ikulu? Du ukiwa pinga pinga ni lazima uazime ubongo wa nyumbu walai..