Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
CHADEMA ni Watanzania kama wewe, hawana baya nao wanataka kufaidi kipande cha keki ya Taifa kama Nyinyi, na sio jambo baya kwa kuwa wao kama Watanzania wanayo haki hiyo.Mama Samia angenikabidhi Urais hata kwa dakika moja tu, ningewamaliza Chadema” CHATANDA
View attachment 3591128
DishiMwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
Ivii kwani ADUI WA TAIFA LETU NI NANI? si tuliaminishwa kua ni UJINGA, UMASKINI NA MARADHI. WTF kuwaza adui wa taifa ni CDM?Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
Kwa akili yake fupi anafikiri adui mkubwa kwenye hii nchi ni CHADEMA, badala ya wao ccm wanaoua watu hovyo, wanaoteka na kupoteza wakosoaji wao, wanaowafunga watu kwa kesi feki, wanaoiba kura mchana kweupe, wanaoifilisi nchi kwa ufisadi na matendo yao ya ubadhirifu, nk.Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mary Chatanda, amewashutumu vikali viongozi wa vyama vya upinzani kwa kuendesha siasa za vurugu na kutumiwa na mataifa ya nje kuharibu amani ya nchi.
Akizungumza, Mei 18, 2026, kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika jimbo la Ismani, Emmanuela Mtatifikolo, huko Migoli mkoani Iringa, Chatanda amesema upinzani unachezea wema na upole wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Chatanda amerejea matukio yaliyojiri katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akieleza kuwa maeneo yaliyokumbwa na ghasia "hayana hamu" kutokana na mipango ya watu wachache waliotaka kuiharibu Tanzania.
nadhani hata chini ya sekunde chadema masalia inaweza kufutika kwenye orodha ya vyama vya siasa nchini 🐒Eti anadai kuwa ataifuta Chadema ndani ya dakika moja