Marufuku uvutaji wa sigara hadharani

Marufuku uvutaji wa sigara hadharani

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
India imetangaza ni marufuku kuvuta sigara hadharani kuanzia jumatatu ,,mavyuoni shuleni baa na katika ukumbi za disco..mwakyusa tutaweza sie ,,je inasaidia
kwenu wana jf health centre
 
Back
Top Bottom