Marufuku kuajiri Mhasibu asiyesajiliwa - NBAA yaomba majina ya wote walioajiriwa kinyume cha sheria

jamani leteni majina ya watu kampuni n.k hapa jamvini jumatatu nitaenda nayo NBAA then ntawaletea mrejesho hapa, tusichezeane..
 
Umeshajaribu kuajiri karani wa mahesabu ukamlipa hiyo laki tatu Kwa Mwezi , halafu zile kazi maalum labda Za kuandaa mahesabu ya mwaka na kazi nyingine kubwa ndo ufanye outsourcing ya huyo Mhasibu Mwenye CPA (T) etc jaribu halafu uone Kama itakupa unafuu!
Asante hili nitaifanyia kazi I say...I hope hawatamsumbua karani wangu
 
Asante hili nitaifanyia kazi I say...I hope hawatamsumbua karani wangu
Mkuu nipe kazi ya kukufungia hesabu mwisho Wa Mwaka.Mimi ni CPA holder mwenye uzoefu Wa miaka 4 sasa kwenye field
 
Waweka Hazina wengi wa Halmashauri na Chief Internal Auditors hawanaga hizo sifa Za CPA, mbali na swala la ukosefu wa maadili mema lakini kukosekana Kwa waweka Hazina na wakaguzi hao Kukosa kuwa na kuwa CPA hili nalo limekuwa likichangia kupatikana Kwa hati chafu na zenye mashaka ktk utendaji mzima wa halmashauri zetu ambako fedha nyingi Za umma zimekuwa zikielekezwa kila mwaka! Na hiyo ni sababu ya mifumo mibovu ya namna ya kuwapata Kwa teuzi Za kujuana badala na nafasi hizi kutangazwa Kwa uwahi na kufanyiwa usaili rasmi na michujo na hatimae kupata Watu wenye sifa na weledi wa mambo ya fedha na uendeshaji!
 
Eti Mtu hadi ujipendekeze Kwa wanasiasa ikibidi ujitie Kwa vyovyote vile ndo upate kuteuliwa
 
Kama Kwenye idadi ya waliokutwa na vyeti vya kughushi kulikuwa na chief internal auditors na waweka Hazina hapo unapata picha gani ?!
 
Hivi chuo kinachotoa CPA hapa nchini kipo wapi?au ndio kuungaunga kwenye madarasa haya ya Ilala Boma na Mnazi mmoja?ebu na wao NBAA wawe serious kidogo
 
Unajua Bureaucracy nyingine hazina maana; Kwanza kwa nini CPA isiwe incorporated kwenye Shahada ya Uhasibu?
Hakuna cha maana kinachofundishwa kwenye CPA ambacho kingeshindwa kuhuishwa kwenye Degree na ndio maana unaona watu wasio na CPA wanafaya kazi hizo kwa uweledi mkubwa bila shida
 
Account package inatoa assistance nzuri kuliko mtu mwenye CPA.
Unachotakiwa ni kuwa na bando la Internet na kuanza kupakua app.
 
Account package inatoa assistance nzuri kuliko mtu mwenye CPA.
Unachotakiwa ni kuwa na bando la Internet na kuanza kupakua app.
Account package ipi rahisi kutumia kwa sisi tusio na ujuzi? Maana mpaka kuajiri mtu wa CPA lazma biashara iwe imekaa vizuri
 
Hivi chuo kinachotoa CPA hapa nchini kipo wapi?au ndio kuungaunga kwenye madarasa haya ya Ilala Boma na Mnazi mmoja?ebu na wao NBAA wawe serious kidogo

ata ACCA hawana chuo madam bali tuition providers like NBAA wakiruhusu Ilala Boma, mnazi mmoja n.k

ata ACCA wanatumia watu waandalie vitabu kwa ajili ya wanafunzi...nawafahamu two publishers Kaplan, na BBP

CPA-NBAA nowadays wanamtumia GTG km publisher wao

kwahiyo sio kitu kigeni, ni utaratibu tuu na una maana yake: rudi tuu shule boss
 
Ninaona mjadala una pande mbili wenye CPA na wasio na CPA. Muhimu tuheshimiane na tuwe wastaarabu.

Mimi ninashauri uhasibu ni moja ya tawi la elimu ya biashara kama marketing, Management na finance.

Kitu cha msingi tutumia elimu hii kupata mitaji ya makampuni binafsi na biashara za kawaida.
Pia tutumie elimu kufanya Financial Management ya biashara zetu na kuajiri wengine.
Tujiwekee malengo ya kuanzisha shughuli za kiuchumi zitakazoingiza pesa ata tukiwa hatuwezi kufanya Kazi.

Kila Mara tutafute right information na knowledge kwa kile tunachotaka kufanya na tupunguze maisha ya kujisifu.
 
Nilijua tu vijana wanaoogopa kufanya CPA hua wanajifariji kwa style kama yako aisee.
Na umri wng wote wa 40s nihangaike na vijana kutafuta Cost Center? Me nahangaika na Pesa ctaki akina Gracious wangu wasome Elimu bure ya Magu,,,,
 
Account package ipi rahisi kutumia kwa sisi tusio na ujuzi? Maana mpaka kuajiri mtu wa CPA lazma biashara iwe imekaa vizuri

unatafta accounting package isiyohitaji CPA holder?? au sijakuelewa
 
Back
Top Bottom