Martin Kadinda: Wema Sepetu amebadilika hadi raha!

Kwahiyo Kufuta picha Instagram ndio amebadilika? Nilijua ameacha tabia yake ya kula vichwa? Meneja wa Wema kazi yake ni P.I.M.P?
 
Naomba nipate nafasi ya kuonana na wema! Nina jambo mhimu sana kwake ili aweze kutulia zaidi ya anavotaka kutuaminisha kuwa ametulia.Mwenye namba zake pls
 


ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.

Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.

“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.

Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.

Chanzo: Swahili News
hamna. ni vile photogenicity imefifia - sababu ya ageing.
 
hamna. ni vile photogenicity imefifia - sababu ya ageing.
huenda hii nayo ikawa sababu
Ila naona cku hizi na yeye ni mtangazaji kwenye tv, aliona wenzie wote wanasonga kimaisha ila yeye yuko palepale, ameamua kushtuka sasa
 
Naomba nipate nafasi ya kuonana na wema! Nina jambo mhimu sana kwake ili aweze kutulia zaidi ya anavotaka kutuaminisha kuwa ametulia.Mwenye namba zake pls
mtafute kwenye kile kipindi anachotangaza nadhani itakuwa rahisi zaidi maana huenda hapa hakuna mwenye namba zake
 
Mmmmmh mbona wengi picha mtandsoni na hawachafui majina yao, ameysems ksma vile ns chipupa nayo kaifunga.

Akapumzike W
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom