Martin Kadinda: Wema Sepetu amebadilika hadi raha!

Kabadilika au umri nahakuna chamaana alichofanya zaidi ya vitoto vidogo ambavyo bado vinavonuka maziwa kujibunyulia kiulaini kakosa soko mjini aje huku mkoani tena vijijini ndo ambako hawa mjui mama huruma chawote
 
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.

Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.

“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.

Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.

Chanzo: Swahili News

Siyo kubadilika, HUO NI UZEE UMEINGIA! Mimi naangalia picha za vibinti vya miaka 18 hadi 24 tu.
 
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.

Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.

“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.

Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.

Chanzo: Swahili News
Hajabadilika ametoa pcha tu.
 
Inabidi na wasanii wengine pia waanze kubadilika mapema kwa hali hii itafikia hatua msanii itatakiwa atoe au afanye vitu vya maana ili jamii imuelewe ila ukitoa visivyoeleka kwa hali hii ilivyo hata kutunzwa au kununua kazi zisizoeleweka utakuwa ngumu
 
Safi sana Wema...

Nimeingia juzi/Jana page yake nikakuta hola, nikasema nini tena
 
Nawaza tu kuna papuch za watoto wenye miaka 19 zimetumika kwa watu kama 4 zimechoka balaa sasa ya huyu wema sijui itakuwa na sura gan labda kama anaifanyia surgey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom