Mitsubish Pajero

Mitsubish Pajero

kaka tivi

Member
Joined
Aug 15, 2014
Posts
20
Reaction score
13
Wakuu
Naomba kujuzwa gari Mitsubish Pajero linachangamoto gani silioni barabarani ukilinganisha na SUV nyingine na ukiangalia bei yake kitonga.

Wataalam naomba udadavuzi wa hili gari. Tafadhali
 
Generation ipi? Weka na picha, mwenyewe natafuta ile short chassis yenye engine ya V6
 
1997-Mitsubishi-Pajero-Evolution-21.jpg

Kama hii. Ubahatishe manual transmission 🙌
 
Back
Top Bottom