C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,771
Hiyo ni kampani ya @C. T .U . . .
Yaliyompata ni ajali kazini bomu linakuja soon kwenye waraka wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote
Hiyo ni kampani ya @C. T .U . . .
stevoh ! Marry Hunbig anakusalimia mie kwa mala ya mwisho nimewasiliana nae Jumapili mchana, nafikiri tokea siku iyo hajaingia tena humu..
Hahah naomba huo waraka usinipite.Yaliyompata ni ajali kazini bomu linakuja soon kwenye waraka wa c.t.u kwenda kwa wana chit chat wote
Hahah naomba huo waraka usinipite.
Lol . . . .natamani hata unidokezee!Usijali yaani kama petro vile alivyokuwa anawaandikia wagalatia..
Nyani Ngabu kama wewe ulivyolipuliwa celebrity kona wapi Kevin Ambrose
Nilikuwa namnyali sana ndo akaamua kuja na gia hiyo sijui alijua nitamgwaya!
This has to be one of the biggest busts in JF's history.
This character went by the names of Mzungumndali and Marry Hunbig.
For all we know he/she could have other names in here but I'll leave that to the powers that be.
Mzungumndali was the mischievous one whereas Marry Hunbig projected a wholesome persona.
Some people hit on her (Marry) while others were hit on by him (Mzungumndali), all the while playing them for fools.
But things came to a head (on Saturday, Jan 26) when one moderator decided to merge the two names.
So on that day I open up the thread entitled "KIPIPI...Come this way Baby!" and I was like hmm, something is amiss here. What could it be? I wondered.
I couldn't quite put my finger on it right away. I eventually did, though.
What was wrong was the thread starter's name had suddenly changed from Mzungumndali to Marry Hunbig.
That's when I realized somebody got busted and I just burst out laughing.
What's so funny is how many people were fooled by this sleazeball.
But that's just the cyberspace for you. It's hard to really know who is behind that keyboard unless you know them in person.
All in all this shit is funny as hell. You just can't make it up.
And the funny side of the story is that he blew his cover on his own accord..!!!
hahahah . . . .alafu unajua Maziwa Mgando mie sijamjuaga!!!
Nimekumbuka majina yangu mengine....
Tigger
FLY
Mbehi O Njemu
Goon
Too many to mention. Lakini kamwe huwaga sijifichi mimi. Mtindo wangu wa uandishi ni ule ule (ingawa si kwamba siwezi kuubadilisha kwa nia ya kuhadaa watu)
Ujanja wote huu niwe na multiple id? That will never ever happen aisee. I am myself. Holy, bitchy, crazy, mibhange, freaky you name it! My papaa knows im a bit crazy, so why care! Hofu yangu iko kwako, lol
Nimekumbuka majina yangu mengine....
Tigger
FLY
Mbehi O Njemu
Goon
Too many to mention. Lakini kamwe huwaga sijifichi mimi. Mtindo wangu wa uandishi ni ule ule (ingawa si kwamba siwezi kuubadilisha kwa nia ya kuhadaa watu)
Nyani Ngabu=dume
Kevin Ambrose=dume
Marry Hunbig=jike (at least ndivyo alivyojitambulisha hapa tena akajiita dada wa Kinyakyusa)
MzunguMndali=njemba
So nadhani you get my point.....
Isitoshe sikuwa najificha na ninaweza hata kukuambia majina yangu mengine hapa na kuna wakati niliyaorodhesha yote ninayoyakumbuka.
Ngoja nijaribu tena kuyaorodhesha yale ninayoyakumbuka
Bwa'Nchuchu
Jini Mapembe
Via Mobile
BTK
Jasiri
Kevin Ambrose
Ng'waninyami
Omega Psi Phi
Ally wa Kitaa
Kibadiru
Bwana Sadiki
Heck ni mengi mno siwezi kuyakumbuka yote.
Lakini kamwe mimi sijawahi kujiandikisha kwa jina la kike halafu nikawa naanzisha nyuzi na kujijibu mwenyewe kwa kutumia ID ya jinsia nyingine. Hilo sijawahi.
Na pia, katika IDs zangu zingine wala huwaga sijifichi mimi. Kama mtu una kipunje kiduchu cha akili basi wala haitakuchukua muda kugundua kuwa ni mimi katika jina jingine.
Hivyo kusema kwamba nililipuliwa kwa jina la Kevin Ambrose wala si sahihi maana wenye akili walijua tokea mwanza KA ni nani.
So, much to your chagrin....
Kuna wengine wanasemaga kunyali ni kuogopa ila kwa sie tulivyozoea ni kama kumpinga mtu kunakoambatana na dharau (ndo nilichomaaanisha kwenye post yangu though sijui kwenye kamusi). BTW, Asante my dear . . . . . it is what it is!Hivi maana ya 'kunyali' ni ipi. Nimemsikia mtu akisema tena. sorry about your papaa. Time heals the wounds. Treasure the good memories. l
Ha ha ha we mzee kiboko na ile id ya bi ashura ya nani?
Umenichekesha sana lo
Hayo ya bi ashura mi siyajui. Labda mwulize Mubyazi na wenzake....
Do u have someone in mind that yu like to see him/her being busted?lol